Hahah..he is he..!Aache ujinga wake, who is he?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah..he is he..!Aache ujinga wake, who is he?
Mjadala ulimjumuisha yeye na Zitto Kabwe 😀johnthebaptist yaani una muda wa kuangalia TBC halafu unasikiliza wakimhoji Tyson,,kweli kabisa?
Wasira huyu huyu aliyeanza uongozi miaka ya sabini unategemea kitastoka kwake Cha kujifunza?
Anzisha mradi wa kukaanga kitimoto hapo Iringa.
Hata Zito Ni wale wale.Tatizo Wazanzibar hawajitambui, vinginevyo wangeshajitafutia uhuru wake
Wameanza tena hoja kuu za wanasiasa wa Tanzania ni CCM serikali mbili na Chadema tatu , CCM muungano ni legitimacy chademo hamaamini, soon utasikia wakibishania hati za muungano na madaraka ya Rais, Tanzania tuna wanasiasa wa hovyo sana hawa hawa wapinzani uchwara
USSR
Watanzania ambao wamezaliwa ndani ya Tanzania wanadai Tanganyika ambayo hawajaijua toka wakiwa tumboni mwa mama zao. Unadaije kitu ambacho hukujui wala hujawahi kukionaWatanganyika hawaitaki tanganyika yao...
Bora iwe moja lakini sio serikali mbiliMzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika.
Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana.
Ukweli Mchungu!