Wassira: Ieleweke wazi tunapoandika Katiba Mpya Sera ya CCM ni Serikali 2 kuelekea 1 na Siyo vinginevyo

Wassira: Ieleweke wazi tunapoandika Katiba Mpya Sera ya CCM ni Serikali 2 kuelekea 1 na Siyo vinginevyo

Cha kwanza kabisa ni Chadema wapate wabunge wengi angalau 100 ili influence iwepo.

Huwezi pewa katiba mpya bila kupigana haswa
 
Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika...

Serikali 2 ishafeli, twende na serikali moja,hizi ngonjera za CCM za miaka 60 ambapo wameshinwa kupata hiyo serikali moja ni upuuzi mtupu wakati huo kila uchwa Zenji inajiimarisha kitasisi ili iwe serikali na nchi kamili kupitia mgongo wa Tanganyika.
 
Serikali 2 ishafeli,twende na serikali moja,hizi ngonjera za ccm za miaka 60 ambapo wameshinwa kupata hiyo serikali moja ni upuuzi mtupu wakati huo kila uchwa zenji inajiimarisha kitasisi ili iwe serikali na nchi kamili kupitia mgongo wa tanganyika.
Na ndio Lengo kuu

Serikali Mbili zitapatikana kwa kummonitor mtanganyika kutawala kisiwani!
 
Tunahtaji serikali iwe moja na rais awe mmoja, baraza la mawaziri liwe baraza moja, yani waziri wa elimu awe mmoja bara na visiwani! Kama wazanzibar hawataki hilo basi tuwe na serikali tatu bhana, mana haiwezekani wao wawe na nchi yao na serikali yao na rais wao afu tanganyika isiwepo!!!
 
Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika

Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana

Ukweli Mchungu!
MZEE KAJICHOKEA
NJAA INAMSUMBUA
FEDHA HAKUWAHI KUZITUNZA kama kina Lowassa Amebaki kuwa CHAWA
1665778582794.jpg
JamiiForums962968567.jpg
 
Tumia akili alishasema zibaki mbili KWA utafiti uliokwisha fanyika!!!
Utafiti huo ulifanyika lini .

Kwa suala la huu Muungano inabidi iitishwe referendum wananchi tuulizwe Kwa nini CCM wanaogopa kuitisha referendum wananchi tuchague.

Muungano ni wa wananchi na sio wao viongozi. Tuulizwe tuamue kama wananchi wote kwani hata hao viongozi nao watachagua upande wao kwenye hiyo referendum sio wajifanye ving'ang'anizi
 
Cha kwanza kabisa ni Chadema wapate wabunge wengi angalau 100 ili influence iwepo.
Huwezi pewa katiba mpya bila kupigana haswa
Chadema imesetiwa katika wrong footing! It is very vulnerable. Ni mpaka hapo itakaposetiwa kwenye right footing ndipo itakuwa very robust, strong if you like, na reliable. Sitaki maswali, dadavua mwenyewe Nina maanisha nini
 
Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika

Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana

Ukweli Mchungu!
Kwani tunadai KATIBA mpya Kwa ajili ya Wanachama wa CCM au Kwa ajili ya Watanzania?

CCM ni asilimia ngapi ktk population ya Watanzania?
 
Back
Top Bottom