Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Kitabu kilichoanza kuandikwa kisha kikaachwa kitamaliziwa KWA hesabu hii"Alishasema nani mh Kishikwambi?
Uhakika si kwa kibali chakoUna uhakika na ulisemalo?
Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika...
Na ndio Lengo kuuSerikali 2 ishafeli,twende na serikali moja,hizi ngonjera za ccm za miaka 60 ambapo wameshinwa kupata hiyo serikali moja ni upuuzi mtupu wakati huo kila uchwa zenji inajiimarisha kitasisi ili iwe serikali na nchi kamili kupitia mgongo wa tanganyika.
Alishapitwa na wakati?Hivi huyu babu hana wajukuu wa kucheza nao?
Anatakiwa kutambua kuwa alishapitwa na wakati na hana jipya tena ktk maisha ya wa Tz.
Ndo umeandika nini sasa ni bora ungekaa kimywa.Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika...
MZEE KAJICHOKEAMzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika
Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana
Ukweli Mchungu!
Takataka hiiMZEE KAJICHOKEA
NJAA INAMSUMBUA
FEDHA HAKUWAHI KUZITUNZA kama kina Lowassa Amebaki kuwa CHAWA View attachment 2515693View attachment 2515695
Utafiti huo ulifanyika lini .Tumia akili alishasema zibaki mbili KWA utafiti uliokwisha fanyika!!!
Naunga Mkono hojaTunataka serikali MOJA
Chadema imesetiwa katika wrong footing! It is very vulnerable. Ni mpaka hapo itakaposetiwa kwenye right footing ndipo itakuwa very robust, strong if you like, na reliable. Sitaki maswali, dadavua mwenyewe Nina maanisha niniCha kwanza kabisa ni Chadema wapate wabunge wengi angalau 100 ili influence iwepo.
Huwezi pewa katiba mpya bila kupigana haswa
Kwani tunadai KATIBA mpya Kwa ajili ya Wanachama wa CCM au Kwa ajili ya Watanzania?Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika
Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana
Ukweli Mchungu!
CCM ina wanachama milioni 29Kwani tunadai KATIBA mpya Kwa ajili ya Wanachama wa CCM au Kwa ajili ya Watanzania?
CCM ni asilimia ngapi ktk population ya Watanzania?
CCM iwe na Wanachama ml 29 Kwa Takwimu zipi?CCM ina wanachama milioni 29
Population ya Tanzania ni milioni 61 zaidi ya Nusu ni Watoto