Wassira: Ieleweke wazi tunapoandika Katiba Mpya Sera ya CCM ni Serikali 2 kuelekea 1 na Siyo vinginevyo

Alishapitwa na wakati?

Mtu ambae amepitwa na wakati ni aliefariki.
Hao jamaa wa ajabu sana, Mzee Lowassa hakuwa vizuri kiafya ila walimpigia kura awe rais hawakujali kama angeweza ama asingeweza changamoto na urais ila mzee Wasira wanaona kazeeka sana hatakiwi hata kuongea.
 
Wameanza tena hoja kuu za wanasiasa wa Tanzania ni CCM serikali mbili na Chadema tatu , CCM muungano ni legitimacy chademo hamaamini, soon utasikia wakibishania hati za muungano na madaraka ya Rais, Tanzania tuna wanasiasa wa hovyo sana hawa hawa wapinzani uchwara

USSR
Weee nawe punguza upimbi wako bhana, serikali mbili ni ujuha kbs, kama hamtaki serikali tatu basi twendeni kwenye serikali moja
 
Wameanza tena hoja kuu za wanasiasa wa Tanzania ni CCM serikali mbili na Chadema tatu , CCM muungano ni legitimacy chademo hamaamini, soon utasikia wakibishania hati za muungano na madaraka ya Rais, Tanzania tuna wanasiasa wa hovyo sana hawa hawa wapinzani uchwara

USSR
Yaani tunazungukia pale pale,, na nilishasema wapinzani lazima watatia mpira kwapani😂😂
 
Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika.

Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana.

Ukweli Mchungu!
Wassira anazungumza kama nani? CCM imeshatoa msimamo huo? au ni wa kwake?
 
Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika.

Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana.

Ukweli Mchungu!
Kauli aina hii hutolewa na walevi wa madaraka.

Nadhani Wassira alipaswa kuweka hoja zake vizuri kwa nini serikali mbili kuelekea moja na si tatu.

Katika mitego ambayo wanaCCM wananasa ni hili la kushindwa kujenga hoja. Kwa sababu tunao polisi wanaotusaidia kwenye mambo yetu ya kushika dola basi akili zinawekwa pembeni na kinachotokea ni uholela wa majibu na matendo.

Mimi nashauri, changamoto na kero za Muungano zipate majibu kabla ya kuingia mchakato wa Katiba Mpya.

Muungano wa mazingira ya 1960s ni tofauti na hali ya sasa. Tukae na ndugu zetu Wazanzibar tuangalie wapi na wapi tupatengeneze na muboresha kisha tuyaweke ktk mkataba na tuingie kwenye mchakato wa Katiba Mpya tukiwa tunajua msimamo wetu kuhusu Muungano upoje
 
Mkae kama nani?

Tanzania na Zanzibar au?!!
 
Hao jamaa wa ajabu sana, Mzee Lowassa hakuwa vizuri kiafya ila walimpigia kura awe rais hawakujali kama angeweza ama asingeweza changamoto na urais ila mzee Wasira wanaona kazeeka sana hatakiwi hata kuongea.
Ujinga ndio changamoto kubwa kwa taifa letu. Wanasiasa wetu (watawala na wapinzani) wanatembelea kwenye ujinga wetu.

Mpaka leo nashangaa kama hao mamilioni waliompigia kura lowasa 2015 walikuwa na akili timamu.
 
Back
Top Bottom