UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Kwanini chadema tu?Cha kwanza kabisa ni Chadema wapate wabunge wengi angalau 100 ili influence iwepo.
Huwezi pewa katiba mpya bila kupigana haswa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini chadema tu?Cha kwanza kabisa ni Chadema wapate wabunge wengi angalau 100 ili influence iwepo.
Huwezi pewa katiba mpya bila kupigana haswa
Hao jamaa wa ajabu sana, Mzee Lowassa hakuwa vizuri kiafya ila walimpigia kura awe rais hawakujali kama angeweza ama asingeweza changamoto na urais ila mzee Wasira wanaona kazeeka sana hatakiwi hata kuongea.Alishapitwa na wakati?
Mtu ambae amepitwa na wakati ni aliefariki.
Kumiliki kitu sio lazima kiwe chako.CCM NI NANI? IKUMBUKWE NCHI HII SIO MALI YA CCM
Weee nawe punguza upimbi wako bhana, serikali mbili ni ujuha kbs, kama hamtaki serikali tatu basi twendeni kwenye serikali mojaWameanza tena hoja kuu za wanasiasa wa Tanzania ni CCM serikali mbili na Chadema tatu , CCM muungano ni legitimacy chademo hamaamini, soon utasikia wakibishania hati za muungano na madaraka ya Rais, Tanzania tuna wanasiasa wa hovyo sana hawa hawa wapinzani uchwara
USSR
Babaake mkubwa
Tume bila katiba madhubuti ni upimbi mtupuNadhani upinzani usikazanie kupata kila kitu.
Tume huru ni mwarubaini wa matatizo mengi.
Yaani tunazungukia pale pale,, na nilishasema wapinzani lazima watatia mpira kwapani😂😂Wameanza tena hoja kuu za wanasiasa wa Tanzania ni CCM serikali mbili na Chadema tatu , CCM muungano ni legitimacy chademo hamaamini, soon utasikia wakibishania hati za muungano na madaraka ya Rais, Tanzania tuna wanasiasa wa hovyo sana hawa hawa wapinzani uchwara
USSR
Chadema ina wanachama milion 31 , hvyo sisi ndo tunawakilisha maoni ya walio wengiCCM ina wanachama milioni 29
Population ya Tanzania ni milioni 61 zaidi ya Nusu ni Watoto
Kwa sasa chadema ndo tuna control kila kitu, tukitaka chochote mother anatupatia kiulaini kbs...na katiba mpya tunaipata kiulaini kbs ila msioipenda ndo andikeni maumivu ..CCM Ndio Waamuzi
Wassira anazungumza kama nani? CCM imeshatoa msimamo huo? au ni wa kwake?Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika.
Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana.
Ukweli Mchungu!
Kauli aina hii hutolewa na walevi wa madaraka.Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika.
Wassira amemwambia Zitto Kabwe kwamba Ukitaka Serikali 3 ujue hakuna Katiba Mpya itakayopatikana.
Ukweli Mchungu!
SeraWassira anazungumza kama nani? CCM imeshatoa msimamo huo? au ni wa kwake?
Wenye hatimilikk ya nchi siyo?😀CCM Ndio Waamuzi
Mkae kama nani?Kauli aina hii hutolewa na walevi wa madaraka.
Nadhani Wassira alipaswa kuweka hoja zake vizuri kwa nini serikali mbili kuelekea moja na si tatu.
Katika mitego ambayo wanaCCM wananasa ni hili la kushindwa kujenga hoja. Kwa sababu tunao polisi wanaotusaidia kwenye mambo yetu ya kushika dola basi akili zinawekwa pembeni na kinachotokea ni uholela wa majibu na matendo.
Mimi nashauri, changamoto na kero za Muungano zipate majibu kabla ya kuingia mchakato wa Katiba Mpya.
Muungano wa mazingira ya 1960s ni tofauti na hali ya sasa. Tukae na ndugu zetu Wazanzibar tuangalie wapi na wapi tupatengeneze na muboresha kisha tuyaweke ktk mkataba na tuingie kwenye mchakato wa Katiba Mpya tukiwa tunajua msimamo wetu kuhusu Muungano upoje
Ujinga ndio changamoto kubwa kwa taifa letu. Wanasiasa wetu (watawala na wapinzani) wanatembelea kwenye ujinga wetu.Hao jamaa wa ajabu sana, Mzee Lowassa hakuwa vizuri kiafya ila walimpigia kura awe rais hawakujali kama angeweza ama asingeweza changamoto na urais ila mzee Wasira wanaona kazeeka sana hatakiwi hata kuongea.
Haikuhusu kama haujaelewaMkae kama nani?
Tanzania na Zanzibar au?!!
Yetiu Inayopakana na ziwa Victoria, ziwa Tanganyika, ziwa Nyasa mto RuvumaTanganyika gani?
🤣Wenye hatimilikk ya nchi siyo?😀
Hiyo ni ya kufikirikaYetiu Inayopakana na ziwa Victoria, ziwa Tanganyika, ziwa Nyasa mto Ruvuma
Sitaki maswali!Kwa hiyo wewe una akili sana kuliko wengine wakati hata familia tu inakushinda kuongoza?