Wassira: Ieleweke wazi tunapoandika Katiba Mpya Sera ya CCM ni Serikali 2 kuelekea 1 na Siyo vinginevyo

Mimi naona tatizo ni huku kuamini kuwa kweli tunaenda kupata katiba mpya kirahisi tu hivi, sijui kwanini watu wanaamini kuwa kupitia Samia kila kitu kinawezekana kirahisi.
 
Acha kudanganya watu. Hayo maoni yalipigiwa kura au referendum?. Mpaka uka conclude kwamba yalikuwa mapendekezo ya wengi zaidi?. Umuhimu wa katiba upo palepale lkn muda ukifika ndio utapata nafasi ya kupigia debe msimamo wako. Kwa sasa unatudanganya mkui
Ni Kweli Rasimu haikupigiwa kura,

Lakini nani aliwapa mamlaka ya kufanya EDITING maoni ya wananchi Bunge la katiba kwenye Rasimu ya Warioba Kwa kuangalia Maslahi yenu CCM?

Nchi ni yetu sote, Si ya kundi dogo la CCM,

TUHESHIMIANE.
 
Mimi naona tatizo ni huku kuamini kuwa kweli tunaenda kupata katiba mpya kirahisi tu hivi, sijui kwanini watu wanaamini kuwa kupitia Samia kila kitu kinawezekana kirahisi.
Umenena!! Huyu Mheshimiwa anaenda style ya JK ya ku- buy time , na bunge la katiba litaanzishwa lakini at the end of the day pesa italiwa na hakuna Katiba Mpya !!
 
Muungano ni maridhiano sio kulazimishana !! Ni lazima uwasikilize na wale ulioungana nao wanatakaje ?!!
Hujatoa jibu,. Swali liliulizwa kutokana na kauli ya mzee wa ccm maana wao ndio wameshikilia mpini. Je, tuendelee na majibizano ya takwa letu la serikali tatu na wao wang'ang'anie na takwa lao la serikali mbili? Kuhusu serikali moja hilo halitawezekana maana Zanzibar hawatalikubali
 
Hujatoa jibu,. Swali liliulizwa kutokana na kauli ya mzee wa ccm maana wao ndio wameshikilia mpini. Je, tuendelee na majibizano ya takwa letu la serikali mbili na wao wang'ang'anie na takwa lao la serikali mbili? Kuhusu serikali moja hilo halitawezekana maana Zanzibar hawatalikubali
Zanzibar nao waseme kabla ya kuanza huo mchakato wanatakaje ? Isije ikawa kazi ya kuzipoteza tena pesa za walipa kodi kwa kitu kinachojulikana kuwa hakitowezekana !! Ccm ya Wassira imeshasema lake je upande wa pili nao wapo pamoja na Wassira au vipi ?!
 
Tutapigwa tena!
 
Upande wa pili labda wapinzani,kauli ya wassira ndio kauli ya ccm bara na visiwani,tena viongozi wa ccm visiwani hao ni vibaraka tu hawana jipya na ndio wanaolinda sana huu muungao na hawaaki kabisa uvunjike mana wanafaidi mengi sana.
 
Wapinzani Ndio hawa akina Zitto Kabwe na Mbowe!
 
Upande wa pili labda wapinzani,kauli ya wassira ndio kauli ya ccm bara na visiwani,tena viongozi wa ccm visiwani hao ni vibaraka tu hawana jipya na ndio wanaolinda sana huu muungao na hawaaki kabisa uvunjike mana wanafaidi mengi sana.
Tusubiri tuone !!
 
Ndio kitu ambacho hatutaki kukiona tena !! Miaka yote Wazanzibari wanalalamika kwamba wanaburutwa sasa the ball is in their court wanauchezaje ?! Hiyo ni Kazi yao !! Yetu macho na masikio !
Wazanzibar Wana shida gani?

Nchi na Katiba wanayo
 
Wameanza tena hoja kuu za wanasiasa wa Tanzania ni CCM serikali mbili na Chadema tatu , CCM muungano ni legitimacy chademo hamaamini, soon utasikia wakibishania hati za muungano na madaraka ya Rais, Tanzania tuna wanasiasa wa hovyo sana hawa hawa wapinzani uchwara

USSR
Tanzania tuna wajinga kama akina USSR ambao kwao uamuzi wa mtu mmoja maadam ni mwanaccm kwao ni sawa tu, na atakapotokea mwingine wa CCM akasema yule alikosea atageuka na kumuunga mkono huyu!
 
Sera ya Chama unasema uamuzi wa mtu mmoja?
 
Back
Top Bottom