Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Kuwa na adabu kijanaHili zee kweli punga
Amewasaidia sana Chadema na ACT wazalendoAhaaa!!!
Wasira amekuwa MTU wa mizaa sanaAmewasaidia sana Chadema na ACT wazalendo
Kwahiyo Chadema ni CDM? 😄Wasira amekuwa MTU wa mizaa sana
Wasira alibidi arudi NSSRKwahiyo Chadema ni CDM? 😄
Huyu babu wangemuacha tu apumzike alee wajukuuAkizungumza katika Kipindi cha Mizani, TBC, mzee Stephen Wasira amesema kuhusu suala la watu wengi kuenguliwa kwa kushindwa kujaza fomu amesema wengi walikuwa wanatumia majina ambayo hayajasajiliwa.
Wasira amesema, Chama Cha Mapinduzi wamesajili jina hilo na kifupi chake ambacho ni CCM. Lakini kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) haijasajili kifupi cha CDM. Hivyo mtu akiandika CDM anakuwa ametumia kifupi ambacho hakitambuliki.
Akizungumza katika Kipindi cha Mizani, TBC, mzee Stephen Wasira amesema kuhusu suala la watu wengi kuenguliwa kwa kushindwa kujaza fomu amesema wengi walikuwa wanatumia majina ambayo hayajasajiliwa.
Wasira amesema, Chama Cha Mapinduzi wamesajili jina hilo na kifupi chake ambacho ni CCM. Lakini kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) haijasajili kifupi cha CDM. Hivyo mtu akiandika CDM anakuwa ametumia kifupi ambacho hakitambuliki.
Kuwa na adabu kijana