eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,807
- 16,477
Wasira amekuwa MTU wa mizaa sana
Kisheria yuko sahihi
Wasira amekuwa MTU wa mizaa sana
Huyo sokwe ni sehemu ya watekajiHuyu mzee mbona kakalia CHADEMA tu kusema maswala ya utekaji,maendeleo mabovu ccm itafanya nini,uchaguzi na haki hakuna utazani kaajiliwa kuisemea chadema huko ccm
CHADEMA this , CHADEMA that. Tumechoka aiseeh. Waongeleeni na CUF ya Lipumba.
Huyu sokwe nilimuagalia kidogo jana nikaona hana akili nikazima TVAkizungumza katika Kipindi cha Mizani, TBC, mzee Stephen Wasira amesema kuhusu suala la watu wengi kuenguliwa kwa kushindwa kujaza fomu amesema wengi walikuwa wanatumia majina ambayo hayajasajiliwa.
Wasira amesema, Chama Cha Mapinduzi wamesajili jina hilo na kifupi chake ambacho ni CCM. Lakini kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) haijasajili kifupi cha CDM. Hivyo mtu akiandika CDM anakuwa ametumia kifupi ambacho hakitambuliki.
Mapandikizi ya CCMLipumba alistaafu uenyekiti. Tukashangaa baadaye anaanza kusema yeye alikuwa likizo
😛
Mimi si kijana ni.mtu mzima kama wasirra,ukiona mzee kama mimi najibu kibangebange ujue mhusika anazinguaKuwa na adabu kijana
NSSR ni chama gani wewe? Au ulitaka kusema NCCR?Wasira alibidi arudi NSSR
Mkuu tukiacha ushabiki Mzee kawasanua kosa lenu la kiufundi. Mnatakiwa mumshukuru badala ya kumdhihakiHuyu babu wangemuacha tu apumzike alee wajukuu
Acha kudhalilisha mtu sawa na baba/babu yako.Hili zee kweli punga