Wassira: Kifupi cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo sio CDM

Huyu mzee mbona kakalia CHADEMA tu kusema maswala ya utekaji,maendeleo mabovu ccm itafanya nini,uchaguzi na haki hakuna utazani kaajiliwa kuisemea chadema huko ccm
Huyo sokwe ni sehemu ya watekaji
 
Huyu sokwe nilimuagalia kidogo jana nikaona hana akili nikazima TV
 
Huyu Mzee anatakiwa kupumzika si katoka India kwa matibabu majuzi tu.
 
Rais nafikiri hana washauri kukifungia chadema ni kuiongezea Umaarufu na kuzidi kupendwa na watu wengi maana inaonekana inaonewa sasa hiyo inaweza kuvuta watu wengi ambao hawapendi Uonevu. MAMA SAMIA kama inawezekana piga chini kesi ya Lissu then Futa kesi za Chadema mahakamani twende kwenye box la kura Chadema hawawezi kuzuia Uchaguzi kabisa
 
Sema let be honest, angeacha Siasa akawa mtaalam angekuwa mtu wa wa maana ana details muhimu sana
 
Chademaphobia inaitesa CCM na Serikali yake!
Kila siku yanatafutwa majibu ya kujibu hoja za Chadema lakini hayapatikani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…