Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Wakati kuna vijana wanabubujikwa na machozi ya furaha humu kila siku.... wanajitahidi kwa kila siku kuanzisha nyuzi hadi 5 kutetea matamko na viongozi then nafasi nyeti anaenda pewa BaBu Wassira... Ukimtafuta kwa sasa unamwona tayari ameshachoka pumzi imekata. imekata mapema sana.
Mzee ataweza heka heka za Kampeni kweli? mara nyingi huwa anaonekana kwenye vikao mara nyingine wenzie wakiwa wanajadili yeye anakuwa anafanya maombi au kutafakari yale wanayojadili.
Soma Pia: Pre GE2025 - Stephen Wasira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara
Kwa sasa hata huu mkutano wa mara ya mwisho sikumwona sijui kama alikuja kipindi mimi nimetoka. lakini kiukweli hiyo nafasi tupewe sisi wenye nguvu. huyu Wassira hawezi kimbizana na vijana wenye nguvu kimwili na kiakili. kwani akina mashamba hawaonekani na namba za simu wanaweka sana humu?siyo sawa hata kidogo.