Pre GE2025 Wassira: Tutaanza kuendeleza maaridhiano. Anayesema hakuna maridhiano haturidhiani na mtu mmoja, tunaridhiana na jamii

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kweli kabisa, maana Lissu anadhani maridhiano ni makaratasi ya matibabu aliyookoteza na mengine kutengeneza stationery
Wewe kumbe huna akili kiasi hiki!

Hapo anamsema Mbowe na Samia waluokuwa wameyafanya maridhiani ni jambo la watu wawili badala ya kuhusisha jamii nzima na makundi yote.
 
Haya tena asiye na mwana aeleke jiwe:



Hii itakuwa ni habari njema sana kutokea kambi ya Mbowe.

Kazi iendelee!
 
Unaomba CCM ikupe katiba wao wajinga watengeze katiba ambayo sometimes inaweza kuwanyima ushindi hawawezi hata Damu
 
Kama kweli anamaanisha anayoongea basi Mbowe aliingizwa chaka na CCM,kwani kama ni maridhiano yalipaswa kua maridhiano ya kitaifa(National Reconsiliation) kwani walioumizwa na utawala wa Magufuli hawakua CHADEMA peke yao,hivyo basi anachofanya huyu Muikizu ni sahihi kabisa ila kwakua Mbowe hakuona umuhimu wa watu ambao wameumia kwa kupoteza wapendwa wao,akaona ni bora aende na hoja zako mfukoni........... Mbowe Must Go,Period
 
Reactions: Ame
CCM ni ile ile, tusije tukabweteka madai yetu ya msingi ya Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi.

Mwamba ukishashika tena usukani kesho kutwa twende nao kwa uangalifu mkubwa, hawa jamaa wanabadilika badilika kama vinyonga.

Kama mazingira yakiruhusu tukae mezani sawa, ika mazingira yakisema ni barabarani sawa!!

Mwamba tuvushe - tuna imani na wewe!! Kubwa.
 

..hadidu za Rejea za maridhiano ni nini?

..mazungumzo ya maridhiano yatasimamiwa na nani?

..kutakuwa na msimamizi anayeaminika toka ndani, au nje?

..Je, kutaunda Tume ya Ukweli, Haki, na Maridhiano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…