GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Kama ule mchakato wa katiba mpya ulivyovurgwaKweli kabisa, maana Lissu anadhani maridhiano ni makaratasi ya matibabu aliyookoteza na mengine kutengeneza stationery
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ule mchakato wa katiba mpya ulivyovurgwaKweli kabisa, maana Lissu anadhani maridhiano ni makaratasi ya matibabu aliyookoteza na mengine kutengeneza stationery
Wewe kumbe huna akili kiasi hiki!Kweli kabisa, maana Lissu anadhani maridhiano ni makaratasi ya matibabu aliyookoteza na mengine kutengeneza stationery
Usipotaka maridhiano unataka kupigana?Haya tena asiye na mwana aeleke jiwe:
View attachment 3205398
Hii itakuwa ni habari njema sana kutokea kambi ya Mbowe.
Kazi iendelee!
he is a survival of personal political carrier turmoilHaya tena asiye na mwana aeleke jiwe:
View attachment 3205398
Hii itakuwa ni habari njema sana kutokea kambi ya Mbowe.
Kazi iendelee!
Lissu hataki maongezi na CCM, yeye kasema watakutana barabaraniTundu Lisu
Yale ya Mbowe yalikuwa Binafsi kuhusiana na Ugaidi 😂
aanze na utawala bora na mambo ya uchumi , unaotoa fursa kwa wote, sio unanijua mimi ni naniHaya tena asiye na mwana aeleke jiwe:
View attachment 3205398
Hii itakuwa ni habari njema sana kutokea kambi ya Mbowe.
Kazi iendelee!
Usipotaka maridhiano unataka kupigana?
Tundu Lisu
Yale ya Mbowe yalikuwa Binafsi kuhusiana na Ugaidi 😂
Huyo ndio wa kuridhiana naye siyo yule Mwenye kiporo cha ugaidi kwa DPP 😂Lissu hataki maongezi na CCM, yeye kasema watakutana barabarani
Huyo ndio wa kuridhiana naye siyo yule Mwenye kiporo cha ugaidi kwa DPP 😂
Mbowe anakubalika hata nje ya CDM.Haya tena asiye na mwana aeleke jiwe:
View attachment 3205398
Hii itakuwa ni habari njema sana kutokea kambi ya Mbowe.
Kazi iendelee!
Mbowe anakubalika hata nje ya CDM.
Unaomba CCM ikupe katiba wao wajinga watengeze katiba ambayo sometimes inaweza kuwanyima ushindi hawawezi hata DamuNinachompendea Mzee Wasira ni honest, bold and deterministic...Hanaga abstract thinking...Hapa CHAGADEMA wakajipange upya
Ila Mzee wangu we need a true change wananchi walipofika watakosa uvumilivu, pamoja na democracy tunayoitamani lakini vitendo viovu vimezidi na vina muumiza Kila mtu bila kujali mwenye chama, status au rangi yeyote....We need inside change kurejesha nchi kwenye mstari, kuwa mkali kidogo hasa kwenye maadili ya wanasiasa na watendaji...Tusaidie kupata Katiba mpya maana nyie sasa ndiyo last Kadi hizo, mtaenda kujibu Nini huko Kwa muumba?
My fifty cents...Tanzania njema is a must deal bila kujali mvua, baridi au joto Kali...And surely mie kama rafiki wa kweli nakuaminia baba yangu...Remember what my late mother did together with you that year before elections mpaka akapoteza maisha kabla hamjafikia Malengo takiwa; Do not forget the struggle for better Tanzania, please!
Mimi mwenyewe ni mdau na mwomba kiongozi wangu, hapo vipi?Unaomba CCM ikupe katiba wao wajinga watengeze katiba ambayo sometimes inaweza kuwanyima ushindi hawawezi hata Damu
Ninachompendea Mzee Wasira ni honest, bold and deterministic...Hanaga abstract thinking...Hapa CHAGADEMA wakajipange upya