Pre GE2025 Wassira: Tutaanza kuendeleza maaridhiano. Anayesema hakuna maridhiano haturidhiani na mtu mmoja, tunaridhiana na jamii

Pre GE2025 Wassira: Tutaanza kuendeleza maaridhiano. Anayesema hakuna maridhiano haturidhiani na mtu mmoja, tunaridhiana na jamii

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kweli kabisa, maana Lissu anadhani maridhiano ni makaratasi ya matibabu aliyookoteza na mengine kutengeneza stationery
Wewe kumbe huna akili kiasi hiki!

Hapo anamsema Mbowe na Samia waluokuwa wameyafanya maridhiani ni jambo la watu wawili badala ya kuhusisha jamii nzima na makundi yote.
 
Haya tena asiye na mwana aeleke jiwe:

GhlK_3NXEAAibCC.jpeg

Hii itakuwa ni habari njema sana kutokea kambi ya Mbowe.

Kazi iendelee!
 
Ninachompendea Mzee Wasira ni honest, bold and deterministic...Hanaga abstract thinking...Hapa CHAGADEMA wakajipange upya

Ila Mzee wangu we need a true change wananchi walipofika watakosa uvumilivu, pamoja na democracy tunayoitamani lakini vitendo viovu vimezidi na vina muumiza Kila mtu bila kujali mwenye chama, status au rangi yeyote....We need inside change kurejesha nchi kwenye mstari, kuwa mkali kidogo hasa kwenye maadili ya wanasiasa na watendaji...Tusaidie kupata Katiba mpya maana nyie sasa ndiyo last Kadi hizo, mtaenda kujibu Nini huko Kwa muumba?

My fifty cents...Tanzania njema is a must deal bila kujali mvua, baridi au joto Kali...And surely mie kama rafiki wa kweli nakuaminia baba yangu...Remember what my late mother did together with you that year before elections mpaka akapoteza maisha kabla hamjafikia Malengo takiwa; Do not forget the struggle for better Tanzania, please!
Unaomba CCM ikupe katiba wao wajinga watengeze katiba ambayo sometimes inaweza kuwanyima ushindi hawawezi hata Damu
 
Kama kweli anamaanisha anayoongea basi Mbowe aliingizwa chaka na CCM,kwani kama ni maridhiano yalipaswa kua maridhiano ya kitaifa(National Reconsiliation) kwani walioumizwa na utawala wa Magufuli hawakua CHADEMA peke yao,hivyo basi anachofanya huyu Muikizu ni sahihi kabisa ila kwakua Mbowe hakuona umuhimu wa watu ambao wameumia kwa kupoteza wapendwa wao,akaona ni bora aende na hoja zako mfukoni........... Mbowe Must Go,Period
 
  • Thanks
Reactions: Ame
CCM ni ile ile, tusije tukabweteka madai yetu ya msingi ya Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi.

Mwamba ukishashika tena usukani kesho kutwa twende nao kwa uangalifu mkubwa, hawa jamaa wanabadilika badilika kama vinyonga.

Kama mazingira yakiruhusu tukae mezani sawa, ika mazingira yakisema ni barabarani sawa!!

Mwamba tuvushe - tuna imani na wewe!! Kubwa.
 
Ninachompendea Mzee Wasira ni honest, bold and deterministic...Hanaga abstract thinking...Hapa CHAGADEMA wakajipange upya

Ila Mzee wangu we need a true change wananchi walipofika watakosa uvumilivu, pamoja na democracy tunayoitamani lakini vitendo viovu vimezidi na vina muumiza Kila mtu bila kujali mwenye chama, status au rangi yeyote....We need inside change kurejesha nchi kwenye mstari, kuwa mkali kidogo hasa kwenye maadili ya wanasiasa na watendaji...Tusaidie kupata Katiba mpya maana nyie sasa ndiyo last Kadi hizo, mtaenda kujibu Nini huko Kwa muumba?

My fifty cents...Tanzania njema is a must deal bila kujali mvua, baridi au joto Kali...And surely mie kama rafiki wa kweli nakuaminia baba yangu...Remember what my late mother did together with you that year before elections mpaka akapoteza maisha kabla hamjafikia Malengo takiwa; Do not forget the struggle for better Tanzania, please!

..hadidu za Rejea za maridhiano ni nini?

..mazungumzo ya maridhiano yatasimamiwa na nani?

..kutakuwa na msimamizi anayeaminika toka ndani, au nje?

..Je, kutaunda Tume ya Ukweli, Haki, na Maridhiano?
 
Back
Top Bottom