milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Taarifa muhimu kwa wastaafu wote:
Wastaafu ambao wamelipwa kiinua mgongo na PSSSF kuanzia mwezi Julai 2024 hadi Septemba 2024 wanakaribishwa kukutana ofisi ya CCM Lumumba tarehe 4 Oktoba 2024.
Mkutano utafanyika kuanzia saa tatu asubuhi.
Tafadhali hakikisha unahudhuria ili kupata taarifa muhimu,ukipata ujumbe huu, mjulishe na mwenzako.
UTAWALA