Tetesi: Wastaafu ambao wamelipwa kiinua mgongo na PSSSF kuanzia mwezi July 2024 hadi September 2024 tukutana ofisi ya ccm Lumumba tar 4.10.2024

milele amina

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
6,045
Reaction score
8,080
Taarifa muhimu kwa wastaafu wote:

Wastaafu ambao wamelipwa kiinua mgongo na PSSSF kuanzia mwezi Julai 2024 hadi Septemba 2024 wanakaribishwa kukutana ofisi ya CCM Lumumba tarehe 4 Oktoba 2024.

Mkutano utafanyika kuanzia saa tatu asubuhi.

Tafadhali hakikisha unahudhuria ili kupata taarifa muhimu,ukipata ujumbe huu, mjulishe na mwenzako.
UTAWALA
 
Ambao hawajalipwa wanakutana wapi?
 
UTAWALA! Utawala upi, wa serikali, PPPF au CCM? Bila kuiunga mkono CCM pensheni inastaafishwa.
 
Taarifa muhimu kwa wastaafu wote:

Wastaafu ambao wamelipwa kiinua mgongo na PSSSF kuanzia mwezi Julai 2024 hadi Septemba 2024 wanakaribishwa kukutana ofisi ya CCM Lumumba tarehe 4 Oktoba 2024.

Mkutano utafanyika kuanzia saa tatu asubuhi.

Tafadhali hakikisha unahudhuria ili kupata taarifa muhimu,ukipata ujumbe huu, mjulishe na mwenzako.
UTAWALA
Kama kweli ni mstaafu halafu mpk leo huna akili basi kuna shida kubwa sn kwenye taifa letu
 
Taarifa muhimu kwa wastaafu wote:

Wastaafu ambao wamelipwa kiinua mgongo na PSSSF kuanzia mwezi Julai 2024 hadi Septemba 2024 wanakaribishwa kukutana ofisi ya CCM Lumumba tarehe 4 Oktoba 2024.

Mkutano utafanyika kuanzia saa tatu asubuhi.

Tafadhali hakikisha unahudhuria ili kupata taarifa muhimu,ukipata ujumbe huu, mjulishe na mwenzako.
UTAWALA
Kwanini Lumumba?
 
Wastaafu ambao wamelipwa kiinua mgongo na PSSSF kuanzia mwezi Julai 2024 hadi Septemba 2024 wanakaribishwa kukutana ofisi ya CCM Lumumba tarehe 4 Oktoba 2024.
Kuweni makini mnaweza kuambiwa changieni fungu la kumi
 
Taarifa muhimu kwa wastaafu wote:

Wastaafu ambao wamelipwa kiinua mgongo na PSSSF kuanzia mwezi Julai 2024 hadi Septemba 2024 wanakaribishwa kukutana ofisi ya CCM Lumumba tarehe 4 Oktoba 2024.

Mkutano utafanyika kuanzia saa tatu asubuhi.

Tafadhali hakikisha unahudhuria ili kupata taarifa muhimu,ukipata ujumbe huu, mjulishe na mwenzako.
UTAWALA

UTAWALA upi?ni wa CcM au? ni kipindi kizuri tunakoelekea hiki cha uchaguzi. malimbikizo yote yatalipwa.maana vinginenvyo hasira zetu tunazimalizia kwenye box.Watumishi wa afya mkoa wa Dar wanamadai yao toka kwenye zile posho za kusimamia covid
 
Kundi la watumishi wa umma ndiyo linaongoza kuwa na wajinga wengi sn
 
Makini wastaafu tangazo hili wasilione wadada wa tabata na sinza
 
Back
Top Bottom