milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Ambao hawajalipwa wanakutana wapi?Taarifa muhimu kwa wastaafu wote:
Wastaafu ambao wamelipwa kiinua mgongo na PSSSF kuanzia mwezi Julai 2024 hadi Septemba 2024 wanakaribishwa kukutana ofisi ya CCM Lumumba tarehe 4 Oktoba 2024.
Mkutano utafanyika kuanzia saa tatu asubuhi.
Tafadhali hakikisha unahudhuria ili kupata taarifa muhimu,ukipata ujumbe huu, mjulishe na mwenzako.
UTAWALA
UTAWALA! Utawala upi, wa serikali, PPPF au CCM? Bila kuiunga mkono CCM pensheni inastaafishwa.Taarifa muhimu kwa wastaafu wote:
Wastaafu ambao wamelipwa kiinua mgongo na PSSSF kuanzia mwezi Julai 2024 hadi Septemba 2024 wanakaribishwa kukutana ofisi ya CCM Lumumba tarehe 4 Oktoba 2024.
Mkutano utafanyika kuanzia saa tatu asubuhi.
Tafadhali hakikisha unahudhuria ili kupata taarifa muhimu,ukipata ujumbe huu, mjulishe na mwenzako.
UTAWALA
Ofisi za makao makuu ya UWT dodomaAmbao hawajalipwa wanakutana wapi?
Kama kweli ni mstaafu halafu mpk leo huna akili basi kuna shida kubwa sn kwenye taifa letuTaarifa muhimu kwa wastaafu wote:
Wastaafu ambao wamelipwa kiinua mgongo na PSSSF kuanzia mwezi Julai 2024 hadi Septemba 2024 wanakaribishwa kukutana ofisi ya CCM Lumumba tarehe 4 Oktoba 2024.
Mkutano utafanyika kuanzia saa tatu asubuhi.
Tafadhali hakikisha unahudhuria ili kupata taarifa muhimu,ukipata ujumbe huu, mjulishe na mwenzako.
UTAWALA
Hakuna aliyelipwa hata Senti tanoKama kweli ni mstaafu halafu mpk leo huna akili basi kuna shida kubwa sn kwenye taifa letu
Kwanini Lumumba?Taarifa muhimu kwa wastaafu wote:
Wastaafu ambao wamelipwa kiinua mgongo na PSSSF kuanzia mwezi Julai 2024 hadi Septemba 2024 wanakaribishwa kukutana ofisi ya CCM Lumumba tarehe 4 Oktoba 2024.
Mkutano utafanyika kuanzia saa tatu asubuhi.
Tafadhali hakikisha unahudhuria ili kupata taarifa muhimu,ukipata ujumbe huu, mjulishe na mwenzako.
UTAWALA
Kuweni makini mnaweza kuambiwa changieni fungu la kumiWastaafu ambao wamelipwa kiinua mgongo na PSSSF kuanzia mwezi Julai 2024 hadi Septemba 2024 wanakaribishwa kukutana ofisi ya CCM Lumumba tarehe 4 Oktoba 2024.
Taarifa muhimu kwa wastaafu wote:
Wastaafu ambao wamelipwa kiinua mgongo na PSSSF kuanzia mwezi Julai 2024 hadi Septemba 2024 wanakaribishwa kukutana ofisi ya CCM Lumumba tarehe 4 Oktoba 2024.
Mkutano utafanyika kuanzia saa tatu asubuhi.
Tafadhali hakikisha unahudhuria ili kupata taarifa muhimu,ukipata ujumbe huu, mjulishe na mwenzako.
UTAWALA
Sasa unaenda CCM kufanya nini au ni kinyume chake kuwa wastaafu kuanzia July mpk leo hawajalipwa? kama hawajalipwa ni ujinga wao wa kushambikia CCM huku wao wakiishi kwenye umasikini wa kutupwa.Hakuna aliyelipwa hata Senti tano
Kundi la watumishi wa umma ndiyo linaongoza kuwa na wajinga wengi snUTAWALA upi?ni wa CcM au? ni kipindi kizuri tunakoelekea hiki cha uchaguzi. malimbikizo yote yatalipwa.maana vinginenvyo hasira zetu tunazimalizia kwenye box.Watumishi wa afya mkoa wa Dar wanamadai yao toka kwenye zile posho za kusimamia covid
Hapo sawaNi kinyume chake😂
Kweli aisee hasa waalimu na wauguziKundi la watumishi wa umma ndiyo linaongoza kuwa na wajinga wengi sn
Hawana tofauti na nyumbu aseeKweli aisee hasa waalimu na wauguzi
Kinacho wakost nyumbu ni kukosa umoja na uoga.watumishi wa umma ni waoga kupindukia .sikumbuki mara ya mwisho wafanyakazi kugoma au kutishia kugoma.Tz ilikuwa lini?Hawana tofauti na nyumbu asee