Wastaafu wasirudishwe kwenye ajira

Wastaafu wasirudishwe kwenye ajira

Vijana Wengi Wako mitaani,, Tunaomba Rais Samia MTU akistaafu kwenye Tasisi Kama TCRA, TBS, WMA, Au TANROADS au TPA ,, Kwa Nini mnawapa MIKATABA ya kuendelea Wakati Vijana wazalendo Wenye maono mapya Wapo.. Hao wazee wamefika Miaka 60 Hawana maono Yoyote mapya Zaidi ya Tamaa ya MADARAKA na uoga wa Maisha.. please Serikali Acheni kuwarudisha kazin Hao Watu,, Hawana maono Yoyote Zaidi ya ujanja ujanja tuu.
 
Kuna limoja limestaafu kwa cheo kikubwa limefanya kazi miaka 40 ndio lina nyumba moja ya kawaida Tena chanika boss mzima unakaa chanika mbezi,mikocheni makongo ukuona sababu alikuwa bize na unoko kazini.
Huwexi ukawa mnoko ukawa na maendeleo.
Aliambiwa astaafu na 55 akagoma igote 60 mamaae akakutana na kikokotoo kapwaa 80 biashara hajui,wenzake waliondoka na 55 walilamba 330 walipewa yote
 
Vijana Wengi Wako mitaani,, Tunaomba Rais Samia MTU akistaafu kwenye Tasisi Kama TCRA, TBS, WMA, Au TANROADS au TPA ,, Kwa Nini mnawapa MIKATABA ya kuendelea Wakati Vijana wazalendo Wenye maono mapya Wapo.. Hao wazee wamefika Miaka 60 Hawana maono Yoyote mapya Zaidi ya Tamaa ya MADARAKA na uoga wa Maisha.. please Serikali Acheni kuwarudisha kazin Hao Watu,, Hawana maono Yoyote Zaidi ya ujanja ujanja tuu.
Nakazia.
 
Back
Top Bottom