Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Ukisikia sasa wanavyojidai idadi ya mademu waliokula.Miaka 60 unataka kurudi kazini iweje,hii ya miaka 60 ndo ustaafu uwafanya wengi sana wajisahau kwenye zipu na vizibo, inataka iwe 45 unapisha wengine
Muda wakustafu ukifika presha na sukari vinaanza