Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna baadhi ya carier wanapaswa kupewa mikataba kama vile madaktari bingwa,maprofesa, PhD nk ili waweza kuwakomaza vijana ambao bado hawana uzoefu na kaziVijana Wengi Wako mitaani,, Tunaomba Rais Samia MTU akistaafu kwenye Tasisi Kama TCRA, TBS, WMA, Au TANROADS au TPA ,, Kwa Nini mnawapa MIKATABA ya kuendelea Wakati Vijana wazalendo Wenye maono mapya Wapo.. Hao wazee wamefika Miaka 60 Hawana maono Yoyote mapya Zaidi ya Tamaa ya MADARAKA na uoga wa Maisha.. please Serikali Acheni kuwarudisha kazin Hao Watu,, Hawana maono Yoyote Zaidi ya ujanja ujanja tuu.
Tatizo ni hao vijana sasa,wamekua mchele mchele wameamua kutoa tako tu.Kuna baadhi ya carier wanapaswa kupewa mikataba kama vile madaktari bingwa,maprofesa, PhD nk ili waweza kuwakomaza vijana ambao bado hawana uzoefu na kazi
Wapo maRais waliostaafu bado mpaka sasa wanafukuzia nyadhifa nyingine !!
Je nao hawakujipanga kabla ya kustaafu. ??!!
Tamaa + no peace of mind = ni shidaaa !!
Maprofesa kwa nchi nyingi wanabaki kam hazina ya taifa mpaka watakapokufa hata miaka 70 fresh kupiga kazi ,ukingatia mchakato mpaka mtu awe professor ni parefu.Kuna baadhi ya carier wanapaswa kupewa mikataba kama vile madaktari bingwa,maprofesa, PhD nk ili waweza kuwakomaza vijana ambao bado hawana uzoefu na kazi
Waliamini wataendelea kuwa wanoko milele wakasahau kuwa wakati ni ukutaTrue na wengi wanatamani kurudi ni wale waliokuwa wanoko makazini wakasahau kujipanga sababu walikuwa bize kuandika umbeya na kuwaharibia wenzao.
Bila kusahau BOT, TRA, TRC, TANAPA, EWURA. TANESCO.Vijana Wengi Wako mitaani,, Tunaomba Rais Samia MTU akistaafu kwenye Tasisi Kama TCRA, TBS, WMA, Au TANROADS au TPA ,, Kwa Nini mnawapa MIKATABA ya kuendelea Wakati Vijana wazalendo Wenye maono mapya Wapo.. Hao wazee wamefika Miaka 60 Hawana maono Yoyote mapya Zaidi ya Tamaa ya MADARAKA na uoga wa Maisha.. please Serikali Acheni kuwarudisha kazin Hao Watu,, Hawana maono Yoyote Zaidi ya ujanja ujanja tuu.
Ingekuwa serikali yangu,Nakazia. Inaingia vipi kwenye akili?? Vijana wetu waende kwa nani???
Mtu akifikisha miaka 65 na ana kila kitu anachokihitaji kwa ajili ya kuishi na haya maisha ya Duniani ni muhimu akapumzika !!Kujiajiri kugumu
Ni tamaa tu na pia kukosa Amani ya Moyo !!Mnadhani kwanini wanajiongezea mishahara na malipo ya uzeeni? na faida kibao, ni kwa sababu kama hizi.
Wao wana ona bado wanauwezo wanaomba, nipe jabo ujumbe wa bodi naadhirika huku mtaani.
Nyie mnasema wasirudi, mnadhani nyie mkizeeka mtayaweza? na nyie mtalialia hivyo hivyo kama wao sasa waliavyo.
Kwa miaka zaidi ya 30 kazini wameshindwa kuwakomaza vijana?Kuna baadhi ya carier wanapaswa kupewa mikataba kama vile madaktari bingwa,maprofesa, PhD nk ili waweza kuwakomaza vijana ambao bado hawana uzoefu na kazi
Ni wazo zuri, je ni nani wa kupitisha haya maamuzi, na je wako tayari?Mtu akifikisha miaka 65 na ana kila kitu anachokihitaji kwa ajili ya kuishi na haya maisha ya Duniani ni muhimu akapumzika !!
Ni muda wa kukaa na kucheza na wajukuu !!
Wawaachie hizo nafasi watu wengine wenye kuzihitaji kweli kweli !
Maana ya Retirement time ni kwamba mwili umeshachoka mpaka Akili pia zimeshachoka ,
Hakuna kipya ambacho mtu huyo anaweza kukileta !
Achieni Damu changa zillete mapinduzi ya kifikra !!
Sisi wazee ni muda wa kupumzika na kucheza na wajukuu wetu !
Ndio maana Afrika ipo nyuma kwa sababu Damu changa hazipewi nafasi zinazostahili. !!
Tubadilike ! 🙏🙏
Harafu hata, wakirudi hawana maajabuTunaomba kistaafu kazi kwa mujibu wa Sheria, rudi kalee wajukuu wasirudishwe au kupewa mikataba Mipya ni Kosa.
Hahaaa ukweli mchunguMsisahau sie wazee ambao tupo kazini na tunagoma kuondoka, tuna watoto kama nyie bado tunawaandalia mazingira, tuna taka tuwarithishe na hizi nafasi za umma!
It's not personal it's business, muwalaumu baba zenu kwanini hawakuingia serikali ni kama Sisi!
Wewe bila kumtaja taja benjamini netanyahuu husikii raha wapalestina karibia wanamaliziwa huko imebaki raffah sasaBenjamin Netanyahu anajutia tamaa ya uongozi huko Israel dadeki [emoji209]