William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Tuache haya ya Mabeyo na mtego wa Loliondo. Rudi kwa akina Anna Makinda, Pius Msekwa, Jaji Warioba na Wengine wengi.
Walikuwa wanasiasa wenye mafao bora kabisa ya Ubunge ambayo hupewa yote kwa mkupuo. Na wengine hupokea mafao bora kila mwezi yani asilimia 80 ya mshahara wa Waziri Mkuu au Spika aliye madarakani lkn bado hupewa teuzi zenye maslahi bora ili maisha yaendelee vizuri.
Sasa nashindwa kuelewa watu hawa wanawaza nini hadi kuamua kuchukua pensheni za watumwa wao wa chini kabisa kwa sheria za kikokotoo? Ipo siku mawe yatasema!
Huu ni unyonyaji