William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Nafasi zote zitangazwe watu wafanye interview za wazi.Mkuu Ungeshauri Kipi Unatamani Kifanyike.
Nafasi zote zitangazwe watu wafanye interview za waziMkuu Ungeshauri Kipi Unatamani Kifanyike.
Inabidi tuamke harakalicha ya kukatwa mafao, wanasubiri mno mpaka wapate fedha ya mkupuo wakati hao wengine noti inaingia hata kabla ya makabidhiano
Kuna mtu humu alisema "...hawataki tu kusema watumwa, ukweli ni watumwa, hawana tofauti na watumwa, ila kuwapunguzia hasira, wanawaita watumishi"Tuache haya ya mabeyo na mtego wa loliondo. Rudi kwa akina Anna Makinda, Piusi Msekwa, Jaji Warioba na Wengine wengi...
Hakuna linalofanyika kabisaInabidi tuamke haraka
Mkishaamka mlete mrejesho, kwanini mnalala huku mnalalamika?Inabidi tuamke haraka
UBOVU WA KATIBA ILIYOPOTuache haya ya Mabeyo na mtego wa Loliondo. Rudi kwa akina Anna Makinda, Pius Msekwa, Jaji Warioba na Wengine wengi.
Walikuwa wanasiasa wenye mafao bora kabisa ya Ubunge ambayo hupewa yote kwa mkupuo. Na wengine hupokea mafao bora kila mwezi yani asilimia 80 ya mshahara wa Waziri Mkuu au Spika aliye madarakani lkn bado hupewa teuzi zenye maslahi bora ili maisha yaendelee vizuri.
Sasa nashindwa kuelewa watu hawa wanawaza nini hadi kuamua kuchukua pensheni za watumwa wao wa chini kabisa kwa sheria za kikokotoo? Ipo siku mawe yatasema!
Huu ni unyonyaji
Sawa BashiteMkishaamka mlete mrejesho, kwanini mnalala huku mnalalamika?
Umesahau kusema kwamba mpk sasa kima cha chini cha pensheni za wastaafu ni laki 1 tu. Na kiwango hiki ambacho ni sawa na USD. 40 kiliwekwa mwaka 2015 na aliyekuwa Waziri wa Fedha wakati huo Mh. Saada Mkuya. May god bless her.Tuache haya ya Mabeyo na mtego wa Loliondo. Rudi kwa akina Anna Makinda, Pius Msekwa, Jaji Warioba na Wengine wengi.
Walikuwa wanasiasa wenye mafao bora kabisa ya Ubunge ambayo hupewa yote kwa mkupuo. Na wengine hupokea mafao bora kila mwezi yani asilimia 80 ya mshahara wa Waziri Mkuu au Spika aliye madarakani lkn bado hupewa teuzi zenye maslahi bora ili maisha yaendelee vizuri.
Sasa nashindwa kuelewa watu hawa wanawaza nini hadi kuamua kuchukua pensheni za watumwa wao wa chini kabisa kwa sheria za kikokotoo? Ipo siku mawe yatasema!
Huu ni unyonyaji
WENYE AKILI ZETU TUNADAI KATIBA MPYA ILA WAPUMBAVU WANABEZATuache haya ya Mabeyo na mtego wa Loliondo. Rudi kwa akina Anna Makinda, Pius Msekwa, Jaji Warioba na Wengine wengi.