Wastani wa umri kwenye vikosi vya Simba na Yanga ni miaka mingapi?

Wastani wa umri kwenye vikosi vya Simba na Yanga ni miaka mingapi?

Timu za wenzetu wastani wa umri wa wachezaji hujulikana, vipi wastani wa umri wa vikosi vya Simba na Yanga?
Miaka ya Wachezaji wengi ni miaka ya mchongo ya kwenye passport tu.

Umri wa wachezaji wa Simba hauna tofauti na wa Yanga na wengine ni wakubwa.

Kwa akili unaamini Mutale ana miaka 22, yaani kazaliwa 2002????
 
Na ukimuangalia kichwani nywele za katikati zimebaki kama mchicha uliopandwa kiangazi ukakosa matunzo..
Yule hakuna hakuna atakua na thelathini na tano..
Utaona tu injury zitakavyo andamana pale umbumbumbuni ndio watajua wana vijana ama kundi la tasaf..
 
Yanga 30 Simba 12 kama waliongea ukweli kwenye usajili..
 
Watani mnapenda sana faraja za bei nafuu, endeleeni tu kujitekenya.
 
Back
Top Bottom