Wastara achumbiwa mara kadhaa na kubwagwa

Wastara achumbiwa mara kadhaa na kubwagwa

Kuna ishu moja nzito sana niliambiwa kuhusu huyu mmmmhh.
Wanaoenda waende tu.
 
Hao wote walikua wanaku beep tuu sio wanaume kamili,mwanaume alokamilika hataki kujua ulikua na Bond wala 007,kama amekupenda wewe atakueleza ukweli na mtaendelea,vuta subra ndoa zinaandikwa mbiguni,na mwenye kheir na wewe atakuja tuu...
 
Mmmh ila Bond huwa anamtundika sana picha zake pia.........Kama vile they are..........what 'we' think they are.....Na Sioni ubaya......
 
Kuna ishu moja nzito sana niliambiwa kuhusu huyu mmmmhh.
Wanaoenda waende tu.

Nyie wabongo siwawezi duu! Bila shaka uliambiwa ukiwa saluni ya kike unatengeneza nywele au kucha.

Maana kwenye saluni za kike watu wana habari za kila mtu
 
Mbona kama promo kua nafasi ipo wazi na anafaa kuwekwa ndani
 
Nyie wabongo siwawezi duu! Bila shaka uliambiwa ukiwa saluni ya kike unatengeneza nywele au kucha.

Maana kwenye saluni za kike watu wana habari za kila mtu

Weee koma sina mambo ya kufuata umbeya salon sawa.
Na hiko kitu si umbeya wala uongo, ni kitu na uthibitisho.
Wee ndio mmbeya badala ya kuuliza unaanza hayo. sasa unajua ni nini? hebu nipishe miye
 
Haahaahaaaa shost nawe mpana, siyo mambo ya kabang bhana, hiyo ni siri yake ya ndani sisi tutaijuaje shost.

Mi mpana kama gaguro la wasomali siri ilitolewaa naa aunt lulu walisheaa bwana huyo bwana nae akamkabaang aunt lulu
 
Mi mpana kama gaguro la wasomali siri ilitolewaa naa aunt lulu walisheaa bwana huyo bwana nae akamkabaang aunt lulu

Huyu wastara siku hiz kapagaw, analalamika nn wakat alikuwa anapiga nae picha wanajiachia wenyewe, mbaya anazi post instagram, alikuwa anategemea nn?
 
Bantu lady Hebu ni pm basi maana nipo kwenye process nataka nikae hapo kwa mda nistue basi wangu.
 
Back
Top Bottom