Wastara achumbiwa mara kadhaa na kubwagwa

Wastara achumbiwa mara kadhaa na kubwagwa

Wanataka wenyewe kujipa maisha ya magazeti ya Shigongo mbona mwenyekiti wao Mwakifwamba hana hizo.

Tatizo ni kukosa ufahamu.huwezi kuchumbiwa harafu ukawa unaweka picha kwenye mitandao ya kijamii umekumbatiwa na unaweka mara kwa mara.

Uyo aliyekuchumbia lazima adai mahari yake na akuache
 
umaarufu ni mzigo wa mawe. hivi ni lazima kujiunga na fb na ig?

Sio lazima, ni majuha tu wanaodhan ni lazima. Kwa sababu ya ulimbukeni wanapost picha za kiduanzi baadae zinawatokea puani. Mbona Busta Rymes sijamwona pale?!
 
Hao wote walikua wanaku beep tuu sio wanaume kamili,mwanaume alokamilika hataki kujua ulikua na Bond wala 007,kama amekupenda wewe atakueleza ukweli na mtaendelea,vuta subra ndoa zinaandikwa mbiguni,na mwenye kheir na wewe atakuja tuu...

Mwanaume akishapata anachotaka basi chochote kitakuwa ni kisingizio...
 
Back
Top Bottom