Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Nani wa kuoa mkosi huo?
Mkosi wapiii??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani wa kuoa mkosi huo?
umaarufu ni mzigo wa mawe. hivi ni lazima kujiunga na fb na ig?
Wanataka wenyewe kujipa maisha ya magazeti ya Shigongo mbona mwenyekiti wao Mwakifwamba hana hizo.
umaarufu ni mzigo wa mawe. hivi ni lazima kujiunga na fb na ig?
Hao wote walikua wanaku beep tuu sio wanaume kamili,mwanaume alokamilika hataki kujua ulikua na Bond wala 007,kama amekupenda wewe atakueleza ukweli na mtaendelea,vuta subra ndoa zinaandikwa mbiguni,na mwenye kheir na wewe atakuja tuu...
Mwanamme kweli hatafuti vituo akisha yavulia maji nguo huoga tuu,hao wengine wanaume suruali...Mwanaume akishapata anachotaka basi chochote kitakuwa ni kisingizio...
Mwanaume akishapata anachotaka basi chochote kitakuwa ni kisingizio...