Wastara afunga ndoa na Mbunge wa Donge (Zanzibar), Sadifa Khamis

Urio kimiroI

Senior Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
146
Reaction score
74
Juzi kati mitandao ya kijamii na kwenye ukurasa wake wa Facebook, Wastara alipost kuwa nyumba zake mbili zinavunjwa, leo amepata mume kutoka CCM, Sadifa Juma ambaye ni Mwenyekiti wa UVCCM - Taifa na pia ni Mbunge wa jimbo la Donge, Zanzibar.

Attachments

  • 1452193467899.jpg
    71 KB · Views: 642
  • 1452193489428.jpg
    111.1 KB · Views: 421
Hivi ni jinsi gani naweza kuziona hizi picha?
 
Bomoa bomoa siyo ya CCM, kwani sheria ilipitishwa na wabunge ambao wengine leo wapo huko upinzani. Sheria hizi zipitishwa kwa manufaa ya watanzani wote na vizazi vijavyo. Wastara kalielewa hilo.
 
Hahahaha ! Wastara kaolewa! Hv huyo Sadifa alikuwa hajaoa?
 
Attachments

  • 1452195201464.jpg
    20.6 KB · Views: 106
  • 1452195215711.jpg
    24.2 KB · Views: 133
juzi kati mitandao ya kijamii na kwenye ukarasa wake wa fecebook Wastara alipost kuwa nyumbazake mbili zinavunjwa leo amepata mmeo kutoka ccm Sadifa Juma mwkt wa uvccm taifa

Unajua sijaelewa......
Kichwa cha habari kinasema.......mama Sajuki apata faraja ndani ya ccm......kiwiliwili kinasema mambo mengine.......sasa tueleweje........?......
 
Unajua sijaelewa......
Kichwa cha habari kinasema.......mama Sajuki apata faraja ndani ya ccm......kiwiliwili kinasema mambo mengine.......sasa tueleweje........?......
Shigongo ameharibu kizazi hiki!
 
Unajua sijaelewa......
Kichwa cha habari kinasema.......mama Sajuki apata faraja ndani ya ccm......kiwiliwili kinasema mambo mengine.......sasa tueleweje........?......

Ina maana, kapata faraja kwa kuolewa leo ña mbunge wa CCM
 
Bomoa bomoa siyo ya CCM, kwani sheria ilipitishwa na wabunge ambao wengine leo wapo huko upinzani. Sheria hizi zipitishwa kwa manufaa ya watanzani wote na vizazi vijavyo. Wastara kalielewa hilo.
..sheria zote ni wanapitisha ccm.kama ges
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…