Wastara afunga ndoa na Mbunge wa Donge (Zanzibar), Sadifa Khamis

Wastara afunga ndoa na Mbunge wa Donge (Zanzibar), Sadifa Khamis

Mmh!!!halafu huyoo bwana harusi mmemuonaa?Ka hasomeki?I miss Sajuki
 
1452238965550.jpg

Nimeona ina sambaa Whatsapp, Je ni kweli ameolewa na Mwenyekiti wa Uvccm bwana Sadif Khamis Juma kama ni kweli hongera zake...Nadhani Nyumba hazitabomolewa tena...Ana bahati na wakina Juma..
 
Wanaume wengine wana mioyo ya chuma kama diamond,wakati wengine tunatamani kitu fresh wao wanatafuta used
 
Wanaume wengine wana mioyo ya chuma kama diamond,wakati wengine tunatamani kitu fresh wao wanatafuta used
Used lakini "kifuniko cha asali" kinakaa vizuri...teh...teh...teh...maana mwingine utakuta fresh from the town lakini .....
 
Mmh nimeipenda Surprise yake,
Amekua mke wa nne.
Hehehehe hapo nampa pongezi mara dufu.

Kweli kabisa...ana bahati ya kuolewa sana. Duni ya ajabu mno, wakati wengine wanakosa wa kuwaoa kila wanapotaka, wengine wanaolewa kadri wanavyotaka.
 
IMG-20160107-WA0174.jpg
Wakati sakata la kutaka kubomolewa kwa nyumba zake mbili zilizowekwe alama x ikiwa bado haijapoa ,muigizaji Wastara Juma jana usiku amefunga ndoa na Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa chama chama cha ccm <UVCCM>Taifa ambaye pia mbunge wa jimbo la Donge,Sadifa Khamis
12509891_1406480552699692_7771509362345070065_n.png
 

Attachments

  • IMG-20160107-WA0174.jpg
    IMG-20160107-WA0174.jpg
    33.9 KB · Views: 78
Last edited:
Mbuzi ameenda kufia kwa muuza supu
 
Hako kamjamaa mbona kazee hivyo halafu bado ni kamwenyekiti wa uvccm.

Nilitaka niulize na mimi nikahisi labda ni mbadala wa Kingunge kwenye cheo walichomvua uvccm kumbe ndo mwenyekiti uvccm
 
Kumbe lile UNO alilokuwa analikata halikwenda bure?
Kweli ndani ya CCM kuna 'faraja'!

Hizi ndoa basi dadaangu? wewe subiri na hila za waunguja huyu hata mwaka hafiki
 
Kweli mungu hawezi kukupa kilema akakunyima mtembeo!nyumba zinapigwa mchi yeye kapata stara.
 
Back
Top Bottom