Genghis Khans
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 502
- 462
Kwa hiyo unasema upinzani ni wasindikizaji tu...sheria zote ni wanapitisha ccm.kama ges
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo unasema upinzani ni wasindikizaji tu...sheria zote ni wanapitisha ccm.kama ges
Kwenye kutomboka lazima apange foleniWhaaaat?Kwahiyo anaenda kusubiria zamu?
Used lakini "kifuniko cha asali" kinakaa vizuri...teh...teh...teh...maana mwingine utakuta fresh from the town lakini .....Wanaume wengine wana mioyo ya chuma kama diamond,wakati wengine tunatamani kitu fresh wao wanatafuta used
usicheze na uno la kutegua mguu..hatari mkuuKumbe lile UNO alilokuwa analikata halikwenda bure?
Kweli ndani ya CCM kuna 'faraja'!
Mmh nimeipenda Surprise yake,
Amekua mke wa nne.
Hehehehe hapo nampa pongezi mara dufu.
Nadhani lile pigo la x limemchanganya akawakumbuka hata waliomtania kumwoa.......Halafu mke wa 3 wa Sadifa ana miaka 19, hahahaha, nimecheka kweli, pita IG kwa mrekebisha tabia usome comments
Hako kamjamaa mbona kazee hivyo halafu bado ni kamwenyekiti wa uvccm.
Kumbe lile UNO alilokuwa analikata halikwenda bure?
Kweli ndani ya CCM kuna 'faraja'!
Mhhhhh kaka inaelekea unajua mengi?Hizi ndoa basi dadaangu? wewe subiri na hila za waunguja huyu hata mwaka hafiki
Itabidi maana hakuna namna.Whaaaat?Kwahiyo anaenda kusubiria zamu?