niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,606
- 5,295
Mh Sadifa kaamua kupasha kiporo joto.Wanaume wengine wana mioyo ya chuma kama diamond,wakati wengine tunatamani kitu fresh wao wanatafuta used
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh Sadifa kaamua kupasha kiporo joto.Wanaume wengine wana mioyo ya chuma kama diamond,wakati wengine tunatamani kitu fresh wao wanatafuta used
Kwani hapa huzioni?Hivi ni jinsi gani naweza kuziona hizi picha?
Mhhhhh kaka inaelekea unajua mengi?
Haya tusubiri na tuone
Yaani hizo buku Saba Saba unazozipata hapo Lumumba hazijatosha tuu kununulia simu ya maana badala ya huyo mchina ulienae hapo?na nashangaa unaulizia kuona picha,kwani wewe haukwenda kwenye harusi ya huyo Bosi wako?Hivi ni jinsi gani naweza kuziona hizi picha?
UNA MISAMIATI MIGUMUNilitaka jibu hapa mkuu na sio swali tena. Halafu kijiji kinasema jamaa muinamo?
MCHICHA MWIBA TENA? SI UTAWACHOWMA WAUMIEMbona huyu Jamaa ni mchicha mwiba! Nasikia wenzake wana mponea kiaina.
Ni dhambi kushuhudia usilo na uhakika naloMCHICHA MWIBA TENA? SI UTAWACHOWMA WAUMIE
Sijawahi kumwona live!usicheze na uno la kutegua mguu..hatari mkuu
bado Madam Sepetu. Zamu yake. Kwehe. Kwehe. Kwehe. Kwehe.Duh kumbe kampeni imelipa
Mweh wanawake mna mioyo....wa nne????
Ubuyu mwingine huu wa mjini,ila hyo ndoa itasaidia kudumisha Muungano,Wastara ni Mtanganyika Jamaa ni mvisiwanKumbe lile UNO alilokuwa analikata halikwenda bure?
Kweli ndani ya CCM kuna 'faraja'!
Kuolewa jambo jema ila pia kujichetua hadharan si maamrisho ya Dinijapo sio vizuri kuombeana mabaya,but nasema huwenda wewe unayembeza huyo dada,pengine na we siku moja utafiwa na mke/ mume alafu tuone kama hutaoa/kuolewa,
ulitaka amuenzi Sajuki kwa kuzini badala ya kuolewa? je amuenzi sajuki kwa kutoolewa au aienzi dini yake kwa kuolewa? ujinga huoooooo