Wastara anamiliki hii hummer?

Wastara anamiliki hii hummer?

hii ndio habari mpya
nasubiri

Siku izi shoga yake wema sepetu, kashafulia na yeye, kaamua kuji frontisha kwa madame, naona siku izi wanafanya movie wote.sijasikia safari za Dubai siku nyingi , ngoja nifuatilie.
 
maisha mlima asee

Yupoje binamu?

wakati kaolewa alitulia tulia akachana na mambo ya magazetini mavazi yakabadilika
ila siku hizi karudia vivazi vyake, full kuzurura na wema
mara yupo kwenye show hiyo ndoa ipo kweli????
 
Usikite kashapigwa ban na mumewe maana siku hizi hana nyimbo tena
 
Back
Top Bottom