Wastara anamiliki hii hummer?

Wastara anamiliki hii hummer?

Matola umenutag wapi? Naona sioni uzi ulionitag
 
Last edited by a moderator:
hiiiivi, wastara amehama ? au amenunua hummer?

huyu si anabanjuliwa kabang na bondi bin saanan huyu?

ngoja kesho tuone atabandika nini kwenye nanii yake...
 
Hivi huyu Wastara sasa hivi anakula mzigo maana duh!
 
Mimi sio mbea, wewe ndo mbea hadi umeamua kujiita mbea
 
Back
Top Bottom