hivi aunt ezekiel ameachika?mbona siku hizi yupo hivo?
Mbona kakaa kwenye kiti cha abiria
na mie nimeliona hilo.........au anaendeshwa teh teh
Siku izi shoga yake wema sepetu, kashafulia na yeye, kaamua kuji frontisha kwa madame, naona siku izi wanafanya movie wote.sijasikia safari za Dubai siku nyingi , ngoja nifuatilie.
maisha mlima asee
Muacheni Boss lady, labda kaamua kuendeshwa, nijuavyo Mimi ma boss wengi ndo uendeshwa.hihihiii
Hahaha hata mimi hapo pamenichengua sana..raha ya gari uendeshe mwenyewe Buana!!
hii ndio habari mpya
nasubiri
Yupoje binamu?
wakati kaolewa alitulia tulia akachana na mambo ya magazetini mavazi yakabadilika
ila siku hizi karudia vivazi vyake, full kuzurura na wema
mara yupo kwenye show hiyo ndoa ipo kweli????
Kwa aunty naona yamekuwa mabonde kabisa
I like the avatar...such a DIVA
make naona uzururaji umezidi mwisho atakamatwa na mgambo wa jiji
sijui ndoa anaihudumia saa ngapi
ni watu kuwa na mapenzi yaliyopitiliza kwa wasanii wao wanaowapenda na ujauzito wa fikra(kufikiria)Teh Wastara anunue hummer??? labda ahongwe tatzo mashabiki wanajitoa ufahamu sana.
kuna kitu sio bure...mambo yote kidigitally labda..ahahaha