Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toyota Cami...millioni 15......whattt?..
Bei ya gari inatokana na quality/Grade,Gari yenye km chache na grade nzuri hata kama collora AE100 bei yake itakuwa kubwa tu,msikariri sana GX100 ya 0km inauzwa 36,000usd zaidi ya 50m CIF ukija kwenye kodi majanga lazima uongeze nyingine 50m
Kwani hawa watu wakinunua kitu lazima dunia ijue? hawawezi kukaa kimnya watu wakaiona? ushamba mwengine jamani....
GX 100 halafu iwe 0 km? Ina maana ni mpya hiyo (kumbuka kuwa hazitengenezwi tena sasa hivi) au mwenyewe aliinunua halafu akaiacha huko huko kiwandani maana hata akiendesha mpaka nyumbani kutakuwa na some mileage. Halafu mkuu mojawapo ya factors zinazothaminisha gari ni mwaka iliyotengenezwa, hizo gari ulizozitaja (GX 100 na Corolla AE100) kamwe haziwezi kuwa na bei kubwa kwani ni za zamani sana.