Wastara anunua gari mpya

Wastara anunua gari mpya

inawezekana ni toyota cami year of manufacture ni mwaka 2014
 
Toyota Cami...millioni 15......whattt?..

...Yaani watu wanapenda sifa sana...Toyota Cami used...unapata kwa 6.2 M toka Japan..hapo hadi inakufikia mikononi....
..Unajua ukiwa mjinga ukinena tu..on the spot we know it...SHULE KWELI NI KITU BORA SANA...SANA.
 
Bei ya gari inatokana na quality/Grade,Gari yenye km chache na grade nzuri hata kama collora AE100 bei yake itakuwa kubwa tu,msikariri sana GX100 ya 0km inauzwa 36,000usd zaidi ya 50m CIF ukija kwenye kodi majanga lazima uongeze nyingine 50m

GX 100 halafu iwe 0 km? Ina maana ni mpya hiyo (kumbuka kuwa hazitengenezwi tena sasa hivi) au mwenyewe aliinunua halafu akaiacha huko huko kiwandani maana hata akiendesha mpaka nyumbani kutakuwa na some mileage. Halafu mkuu mojawapo ya factors zinazothaminisha gari ni mwaka iliyotengenezwa, hizo gari ulizozitaja (GX 100 na Corolla AE100) kamwe haziwezi kuwa na bei kubwa kwani ni za zamani sana.
 
Hapa ndipo napoipenda.jf.a shule unapata humu humu
 
Back
Top Bottom