Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
Anakufanyaje tumshughulikieMwambie mi ni dada yako anichee etii lasivyo tutamgayaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakufanyaje tumshughulikieMwambie mi ni dada yako anichee etii lasivyo tutamgayaa
Ananichambagaa weeeeAnakufanyaje tumshughulikie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Safi sana sister zangu wameniahid gar nilinga hatar
Hapo ni ndoa au maombezi? maana naona kamshika kichwa.
Sajuki alitoa pesa ya matibabu alivyofika huko akaomba tena pesa anunue mzigoo wa kuja kuuza ,sajuki akakasirika hakuona risiti za matibabu
Hapo ni ndoa au maombezi? maana naona kamshika kichwa.
Haahahahahahahahah nishasahau jamani ni sadifa unajua natype huku naangalia movie acha tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaah kama kwa royal wedding tu shost acha kuchanganya mchuzi wa nyama na mafuta ya alizeti itaharibika sio sajuki ni sadifa mbunge
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ntaleta mrejesho usjali
Lazima nijue yaliyomo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sajuki alitoa pesa ya matibabu alivyofika huko akaomba tena pesa anunue mzigoo wa kuja kuuza ,sajuki akakasirika hakuona risiti za matibabu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ananichambagaa weeee
Aiseeee "" huyu kweli mandoa ndoa ....isije kuwa zile hela za jiwe walizipeleka kwenye kamati ya harusi "...
Ha hah hahaaaWastara atakuwa ana fanya utafiti wa PhD kwenye masuala ya ndoa
Siyo bure aki
ha hahaa...yaani yye alimradi Ndoa tu ...daahhh huyu Dada asingepatwa na matatizo ..yaelekea angelikuwa anakitembeza mnooo""....Ndio ameolewa na haka kamkaka sijui kaigizaji akitoka huyu anaolewa na hamorapa
Mara nyingi anaachika ni mzigo ukimuoaHivi huwa anaacha au huwa anaachika
Kumbe basi nami ntakuigaa nakaa kimya tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamani yaan huyo kuna ishu hata mi huwa namshindwaga
Ndio unaona sometimes nakuwa k8mya tuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ha hahaa...yaani yye alimradi Ndoa tu ...daahhh huyu Dada asingepatwa na matatizo ..yaelekea angelikuwa anakitembeza mnooo""....