Wastara aolewa kwa mara ya saba

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmmh ni weweeee aiseee si huwa mnalilia ndoa kwa nanilii so ya wastara sijaona tatizo dini inaruhusu bana
Sijawah lilia ndoa mimi
Wala sina haraka na ndoa tena zingine huwa nazikataa,mimi siki nikiolewa ni kimojaa siachiki,,
Sasa wastara kila siku kuolewa jamani hata aibu haoni
 
Ananyota ya kuolewa na kuachika
 
Ananyota ya kuolewa na kuachika
 
Ananyota ya kuolewa na kuachika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…