Wastara aolewa kwa mara ya saba

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Akiachwa ntajaribu kumuoa nijue wenzangu wanakimbilia nini
Nikimbuke kwenye pilau tuuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] na usisahau kuleta mrejesho itapo vunjika
 
Hii itakuwa ni harusi ya kny muvi siyo harusi ya kweli
 
Ningependa kufahamu sababu hasa za kuvunja hizo mdoa zilizopita, achilia mbali ya kufiwa... tusimsifie kuolewa tu kama aliachika basi ana nyota ya kuachika pia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…