Wastara aolewa kwa mara ya saba

Ila sasa tujiulize wanaume wanafuata nn kwake? Na kwa nn ndoa zenyewe hazidumu?
Wanaume wanafaata weupe wake afu nazan huwa ni mtalam sana wa kukata mauno, hapo kwenye ndoa kutokudumu mimi nazan itakuwa anagharama sana
 
Nishaaga bana hapa, maana kuna mwingine anaelekea huko saiv ana wawili baba tofauti na bado wanasema binti mbichiiiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasubiria afikishe tatu mzuka
Namfananisha na dada mmoja hivi kitaan ana watoto watano lakin kila kila mtoto na baba yake
 
Nishaaga bana hapa, maana kuna mwingine anaelekea huko saiv ana wawili baba tofauti na bado wanasema binti mbichiiiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasubiria afikishe tatu mzuka
Hahahahaaa dada numbisa bhana yaan ana watoto wawili afu bado ni binti mbichi kweli mmhhhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…