Wastara aolewa kwa mara ya saba

Wastara aolewa kwa mara ya saba

[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji11]hii Kali hii hata km ndoa ni faradhi...!!Wastara angejiuguza kwanza!

Pesa za matibabu anachangiwa mume atamuweza kaa!!!
Unataka akufwe na mautamu yake sio!
 
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji11]hii Kali hii hata km ndoa ni faradhi...!!Wastara angejiuguza kwanza!

Pesa za matibabu anachangiwa mume atamuweza kaa!!!
Yaan anaolewa na wanaume tofauti tofauti,,atakuwa analinganisha humo ndani anaona kila mme hafai,,watu mpaka wanachoka kudhuria harusi za hivyo sema harusi za kiislam fasta tu na ubwabwa kiasi
 
Back
Top Bottom