Wastara aolewa kwa mara ya saba

Wastara aolewa kwa mara ya saba

Angeanzisha kozi fupi ya "jinsi ya kunasa mume kwa muda mfupi". Yupo vizuri huyu mtu
 
Kuna wadada wana nyota sana mfano huyu dada na zari the boss lakin kuna wadada wengine wana mikosi inabidi wakaoge dawa za kisukuma zinaitwa sambaa mfano wema sepetu na johar
Nyota ya kuolewa mara nyingi? Hao waume zake wa awali walienda wapi hadi aolewe tena na tena? Huo nao ni Mkosi tu! Usijeshangaa Wema Sepetu Akaja kuolewa mara moja tu na akadumu kwenye ndoa yake na ikawa ya kufa na kuzikana!
 
Aisee! Hii comment imenichekesha mpaka jamaa zangu hapa wananishanga kinachonichekesha!
Siku ice kapunguza kuna kipindi zari alibeba mimba ya nillan akasema "sasa inabidi serikali iingilie kati maana keshageuzwa incubator " mengine sikumbuki aiseee nilicheka siku nzimaaaa
 
Tatizo ni mtu wa gharama sana,na wanaume wa kizazi hiki ni rahisi kummuacha sababu ya gharama zake(demand zaidi).ila akiolewa na mwarabu ataturia,waarabu wana pesa zisizo na mawazo.
 
Back
Top Bottom