James Hungury
JF-Expert Member
- Jun 8, 2013
- 825
- 612
[emoji38][emoji38][emoji28][emoji28]Tena alijaa haswa akapata alichostahili.., ila ajue Ngosha sio wa sport sport siku ikibainika kuwa amempiga lazima achojoe tu!!!
Huyo malaya haumwi mguu hizo pesa anazochangiwa anakwenda kununuwa biashara uarabuni.Yaan sijui wanawake kwann tuna roho ndg kiasi hiki.
Hivi heshima kwetu imekuwa ni tabu kiasi hiki? Mume kaomba risit hivi hiyo ni ishu ya kukufanya uvunje ndoa? Eti akarudushiwe na bunge hivi huyu asingekuwa mumewe hata iyo heshima ya mke angepata?
Aache ujinga
Mimi nilimuonea huruma sana kwa kusema wasanii wote kwa nini hawapazi sauti kumsaidia.?? Kumbe wanajua nyuma ya paziaAlikaa hospitali siku tano na baada ya hapo Alienda Oman mwezi mzima akipost products za MARC kwa wateja na kuwaambia anashusha mzigo wa nguvu.
Insta inaumbua sana
Mambo ya diva na gkutasikia hakuwa romantic pia?
Kama risiti hakuna utafanyaje bibie, unakomaa tu na kuvunja ndoaYaan sijui wanawake kwann tuna roho ndg kiasi hiki.
Hivi heshima kwetu imekuwa ni tabu kiasi hiki? Mume kaomba risit hivi hiyo ni ishu ya kukufanya uvunje ndoa? Eti akarudushiwe na bunge hivi huyu asingekuwa mumewe hata iyo heshima ya mke angepata?
Aache ujinga
Nikiuza vitunguu vyang mwaka huu namuowa napigaaaaaaaaaaaaa afu akitaka za matibabu nampa nadai risit tunaachana.View attachment 686818
Msanii wa filamu bongo ambaye hivi karibuni amekuwa akipokea michango kutoka kwa watu mbali mbali kwa ajili ya matibabu, ameweka wazi moja ya sababu iliyofanya ndoa yake na kigogo wa CCM Sadifa Khamis kuvunjika baada ya muda mfupi.
Akizungumza na mwandishi wa eatv Wastara amesema mume wake huyo alionesha kutojali matatizo yake na badala yake kuweka pesa mbele, baada ya kudai risiti za matibabu aliyoenda kutibiwa India, kwa hela za michango ya watu mbali mbali, ili arudishiwe na bunge na ziingie mfukoni mwake.
Wastara amesema kitendo cha Sadifa kudai risiti hakikukifurahia, kwani pesa aliyokwenda nayo haikutoka mfukoni mwake, bali zilitoka kwa watu mbali mali wakiwemo Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu, Msanii Alikiba, rafiki yake Sadifa na wengineo.
Muungwana
Haujamuelewa wastara. Anachojaribu kusema wastara ni kwamba huyu bwana mzee alikuwa anataka risiti ya matumizi hata yaliyotokana na michango ili aweze kuwasilisha madai serikalini ili alipwe. Morally alicho simamia huyu mama ni sawasawa kwani alichotaka kufanya huyu mh. ni ufisadiKAMA NI MUMEO KUNA UBAYA GANI KUMUONYESHA RISITI KAMA KWELI ULIENDA KUTIBIWA. HAPA KUNA HARUFU YA KAUFISADI/USANII FLANI KWA HUYU DADA
πππMimi binafsi
NIKISHAMWONA MWANAMKE ANAJILIZALIZA HOVYO NA KUMPONDA MMEWE PAMOJA NA KUTOA SIRI ZAO ZA NDANI,,!!!!
Yaani hapo ndio napowakinai haaasa wanawake[emoji13]
Bora nikanunue Mdoli tu,nijilie kilaiiiiini tena kimyaa kimyaaaa,,!![emoji1321]
Kiakili yuko sawa kabisa? Kiimani je? Nini kinachomsibu?Alikaa hospitali siku tano na baada ya hapo Alienda Oman mwezi mzima akipost products za MARC kwa wateja na kuwaambia anashusha mzigo wa nguvu.
Insta inaumbua sana