Wastara atoa sababu ya ndoa yake na kigogo wa CCM kuvunjika

Wastara atoa sababu ya ndoa yake na kigogo wa CCM kuvunjika

huyu mwanadam anamatatizo ya akil maana kwa kawaida sabab ykumwacha mume wako kisa risit!daah,anapaswa kuachwa apate maumiv zaid,she is seems of after money and nt after anythng
 
Yaan sijui wanawake kwann tuna roho ndg kiasi hiki.

Hivi heshima kwetu imekuwa ni tabu kiasi hiki? Mume kaomba risit hivi hiyo ni ishu ya kukufanya uvunje ndoa? Eti akarudushiwe na bunge hivi huyu asingekuwa mumewe hata iyo heshima ya mke angepata?

Aache ujinga
Huyo malaya haumwi mguu hizo pesa anazochangiwa anakwenda kununuwa biashara uarabuni.

Kama kweli alikwenda kutibiwa risiti angekuwa nazo na angempa risiti ili wavute hiyo pesa ya bunge.

Atafute wajinga wenzake huko ccm ndio awadanganye.
 
Yaan sijui wanawake kwann tuna roho ndg kiasi hiki.

Hivi heshima kwetu imekuwa ni tabu kiasi hiki? Mume kaomba risit hivi hiyo ni ishu ya kukufanya uvunje ndoa? Eti akarudushiwe na bunge hivi huyu asingekuwa mumewe hata iyo heshima ya mke angepata?

Aache ujinga
Kama risiti hakuna utafanyaje bibie, unakomaa tu na kuvunja ndoa
 
View attachment 686818
Msanii wa filamu bongo ambaye hivi karibuni amekuwa akipokea michango kutoka kwa watu mbali mbali kwa ajili ya matibabu, ameweka wazi moja ya sababu iliyofanya ndoa yake na kigogo wa CCM Sadifa Khamis kuvunjika baada ya muda mfupi.

Akizungumza na mwandishi wa eatv Wastara amesema mume wake huyo alionesha kutojali matatizo yake na badala yake kuweka pesa mbele, baada ya kudai risiti za matibabu aliyoenda kutibiwa India, kwa hela za michango ya watu mbali mbali, ili arudishiwe na bunge na ziingie mfukoni mwake.

Wastara amesema kitendo cha Sadifa kudai risiti hakikukifurahia, kwani pesa aliyokwenda nayo haikutoka mfukoni mwake, bali zilitoka kwa watu mbali mali wakiwemo Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu, Msanii Alikiba, rafiki yake Sadifa na wengineo.



Muungwana
Nikiuza vitunguu vyang mwaka huu namuowa napigaaaaaaaaaaaaa afu akitaka za matibabu nampa nadai risit tunaachana.
 
KAMA NI MUMEO KUNA UBAYA GANI KUMUONYESHA RISITI KAMA KWELI ULIENDA KUTIBIWA. HAPA KUNA HARUFU YA KAUFISADI/USANII FLANI KWA HUYU DADA
Haujamuelewa wastara. Anachojaribu kusema wastara ni kwamba huyu bwana mzee alikuwa anataka risiti ya matumizi hata yaliyotokana na michango ili aweze kuwasilisha madai serikalini ili alipwe. Morally alicho simamia huyu mama ni sawasawa kwani alichotaka kufanya huyu mh. ni ufisadi
 
Mimi binafsi
NIKISHAMWONA MWANAMKE ANAJILIZALIZA HOVYO NA KUMPONDA MMEWE PAMOJA NA KUTOA SIRI ZAO ZA NDANI,,!!!!
Yaani hapo ndio napowakinai haaasa wanawake[emoji13]
Bora nikanunue Mdoli tu,nijilie kilaiiiiini tena kimyaa kimyaaaa,,!![emoji1321]
🙁🙁🙁
 
[QUOT🙂E="Daudi Mchambuzi, post: 25556038, member: 32466"]hata mimi ningedai risiti, yani kwa siku 6 alizokaa India million 40 ikayeyuka alafu gafla akenda mapumziko Muscat ya mwezi mzima alafu mume asioji risiti ya matibabu??

Wastara hatari sana this time katapeli mpaka Ikulu.[/QUOTE]
🙂
 
Alikaa hospitali siku tano na baada ya hapo Alienda Oman mwezi mzima akipost products za MARC kwa wateja na kuwaambia anashusha mzigo wa nguvu.

Insta inaumbua sana
Kiakili yuko sawa kabisa? Kiimani je? Nini kinachomsibu?
 
Sasa angerudishiwa na Bunge, unge/mngekuwa mmepata au mmepoteza? au ingekuathiri kivipi weye Mwanadada?

Au basi tuonyeshe sisi Wanainchi hizo risiti ulizomkatalia.
 
Back
Top Bottom