Labda mihela ilimponya fasta, hakuhitaji tena tiba za Wahindi.Alikaa hospitali siku tano na baada ya hapo Alienda Oman mwezi mzima akipost products za MARC kwa wateja na kuwaambia anashusha mzigo wa nguvu.
Insta inaumbua sana
Labda kwa maneno haya yanayoendelea anaweza kumpa Mtu wa kumsindikiza kwenye matibabu, na Muweka hazina kabisa.This time Ngosha ameingia kingi
Mdoli, na siku ukiaga ghafla Limdoli lako nalo litaletwa hapo kaburini nalo litoe heshima zake za mwisho.Mimi binafsi
NIKISHAMWONA MWANAMKE ANAJILIZALIZA HOVYO NA KUMPONDA MMEWE PAMOJA NA KUTOA SIRI ZAO ZA NDANI,,!!!!
Yaani hapo ndio napowakinai haaasa wanawake[emoji13]
Bora nikanunue Mdoli tu,nijilie kilaiiiiini tena kimyaa kimyaaaa,,!![emoji1321]
Mkuu umekumbusha issue fulani ambayo ya ukweli,kulikuwa na jamaa mmoja alikuwa na kidonda mguuni alikuwa anavizia sana watu kwenye foleni za mataa Pale salenda alikuwa anakujia anakufungulia kidonda ili umtoe helahali ngumu hadi ombaomba kidonda kafanya mtaji~~STAMINA
Wastara mpigaji tu mkuu akipigika anakuja na Style mtaji ulemavu wake!
!
Mimi nilisema sitaoa msanii. Anatuektia huyu
KWAHIYO MUMEWE KUDAI RISITI ILI AKALIPWE PESA NA SERIKALI IWE NDIO SABABU YA KUACHANAHaujamuelewa wastara. Anachojaribu kusema wastara ni kwamba huyu bwana mzee alikuwa anataka risiti ya matumizi hata yaliyotokana na michango ili aweze kuwasilisha madai serikalini ili alipwe. Morally alicho simamia huyu mama ni sawasawa kwani alichotaka kufanya huyu mh. ni ufisadi
Huyu dada naona ana tatizo mahali,Yaan sijui wanawake kwann tuna roho ndg kiasi hiki.
Hivi heshima kwetu imekuwa ni tabu kiasi hiki? Mume kaomba risit hivi hiyo ni ishu ya kukufanya uvunje ndoa? Eti akarudushiwe na bunge hivi huyu asingekuwa mumewe hata iyo heshima ya mke angepata?
Aache ujinga
Inasemekana ana ndugu zake wanaoweza kumsaidia ila kila mtu amekaa pembeni.Mimi nilimuonea huruma sana kwa kusema wasanii wote kwa nini hawapazi sauti kumsaidia.?? Kumbe wanajua nyuma ya pazia
Kwani hiyo pesa ingerejeshwa si ingetumika tu hapo nyumbani?Haujamuelewa wastara. Anachojaribu kusema wastara ni kwamba huyu bwana mzee alikuwa anataka risiti ya matumizi hata yaliyotokana na michango ili aweze kuwasilisha madai serikalini ili alipwe. Morally alicho simamia huyu mama ni sawasawa kwani alichotaka kufanya huyu mh. ni ufisadi
Wastara mpigaji tu mkuu akipigika anakuja na Style mtaji ulemavu wake
Ova
Hehehe Mzee baba kaingia kingi mwenyewe....!
!
Kampiga hadi baba Jeska
Kwaiyo mange ni kiboko yake[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Huyo malaya haumwi mguu hizo pesa anazochangiwa anakwenda kununuwa biashara uarabuni.
Kama kweli alikwenda kutibiwa risiti angekuwa nazo na angempa risiti ili wavute hiyo pesa ya bunge.
Atafute wajinga wenzake huko ccm ndio awadanganye.
Inamaana taraka aliidai mwenyewe wastara? Au mbunge alivyonyimwa risiti akaona uyu tapeli wa bongo moveKama risiti hakuna utafanyaje bibie, unakomaa tu na kuvunja ndoa
Apo chacha ndio pananoga ....akijibu ilo swali niiteKwani hiyo pesa ingerejeshwa si ingetumika tu hapo nyumbani?
Hehehe Mzee baba kaingia kingi mwenyewe....
Wasta kiboko
Ova