Wastara bana, Aitwa Matonya wa Bongo na Mashabiki zake Huko Instagram

Wastara bana, Aitwa Matonya wa Bongo na Mashabiki zake Huko Instagram

Ramon Abbas

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
1,964
Reaction score
3,913
Huyu dada bwana sijui ni kweli anapitia shida ama ni uigizaji?

Kwenye interview moja na Diva clouds alionekana akilia maisha magumu na kutaka kujiua.

Leo hii anaibuka insta akiwa kang'aa

Cheki alichoambiwa
Screenshot_20211002-090001.png
Screenshot_20211002-085913.png
 
Hiv kwanini mnapenda kumuandama huyu dada industry ya bongo movie imekufa unataka hela aipatie wapi? Na kizuri nachompendea pamoja na kuwa na shida kama anavyosema public lakini haimfanyi auze uchi kama wadada wengi wa bongo movies wanavyofanya.
 
Anapenda kuombaomba kama yeye peke yake ndio kafiwa vile hajui kwamba Tanzania hii kuna watu wana magumu afadhali ya yeye kaachiwa hata hicho kidogo na mme wake..kuna kipindi hadi alifeki kuumwa hili achangiwe hela anapenda kuteleza sana huyu Binti
Wewe ulijuaje amefake kuumwa? au ndio Mange kasema?
 
Back
Top Bottom