Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
Ni Bora huyo kuliko wadada wenzake wanaona kudanga ndio njia pekee ya kujipatia riziki minjiAnapenda maisha yakuonewa huruma huyo
Anapenda kuombaomba kama yeye peke yake ndio kafiwa vile hajui kwamba Tanzania hii kuna watu wana magumu afadhali ya yeye kaachiwa hata hicho kidogo na mme wake..kuna kipindi hadi alifeki kuumwa hili achangiwe hela anapenda kuteleza sana huyu BintiAnapenda maisha yakuonewa huruma huyo
Wewe ulijuaje amefake kuumwa? au ndio Mange kasema?Anapenda kuombaomba kama yeye peke yake ndio kafiwa vile hajui kwamba Tanzania hii kuna watu wana magumu afadhali ya yeye kaachiwa hata hicho kidogo na mme wake..kuna kipindi hadi alifeki kuumwa hili achangiwe hela anapenda kuteleza sana huyu Binti
Maswali kama haya mimi sipendagi kuulizwa asubuhi yote hii....Ingekuwa vyema ungeenda kunywa chai muda huuWewe ulijuaje amefake kuumwa? au ndio Mange kasema?
Unaweza ukaja pm na nisijibu kile utakacho andika una jambo lolote andika hapa
Nuzulati kwani unazani mwenzako ni mjinga au haelewi mpaka akaita pm ebu msikilize mwenzakoUnaweza ukaja pm na nisijibu kile utakacho andika una jambo lolote andika hapa
Sawa mamie umeshindaSijakataa kumsikiliza ila hapa jukwaani itapendeza zaidi mkuu
Anyway tuje kwenye mada we unavyozani hii njia anayotumia Wastara ni sahihi? NuzulatiSawa mamie umeshinda
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ehh wastara anatia aibu sasa, halafu muongo muongoMjanja sana huyu.
akipigiwa simu kama hakujui anakata.
Kisha anaomba hela usiku wa manane[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]
View attachment 1959942View attachment 1959943