Wastara Juma aomba Watanzania tumuombee, Nyumba zake 2 zawekwa x

Kuna ujumbe aliuandika Instagram kuelezea changamoto alizokutana nazo wakati anamuuguza marehemu mmewe da Inasikitisha Sana baada ya siku mbili tena akaandika nyumba zake mbili zimewekwa X ,Naogopa kusema chochote maana tutazidi kumuondolea furaha ambayo amesema amaikosa tangia 2011 mmewe alipoanza kuumwa,Nami nampa pole aende Lumumba watamsaidia.
 
Wabomoe tu… no way out… awe ccm awe ukawa kama amejenga eneo lisilostahiki ibomolewe tu
Tule tuwema tushasoma namba,Sasa ni huyu.Wataisoma wengi sana.Na vile walikuwa wanakaangwa kwenye jua watanyooka
 
Tule tuwema tushasoma namba,Sasa ni huyu.Wataisoma wengi sana.Na vile walikuwa wanakaangwa kwenye jua watanyooka
Shida sio kuwa CCM wala kuwa sijui chama gani. Hapa tunasimamia sheria tu.

Kipindi cha kampeni hao wasanii walisaidia chama kwa mapenzi yao...Na hatukuwaahidi kuwa CCM ikishinda basi itawabeba ikiwa watavunja sheria. Hii haikuwa ahadi yetu kwao.
 

Mbona kapata pedeshee iweje anaishi maeneo hatarishi?
 
Mbona wastara huwa ana majanga xana? hlf sielew watu mnachofurahia kwenye hii thread ni nini, matatizo yapo kwa kila mtu, wastara mbona sio bitch na mwenye show off feki kama akina wema?? lkn bado mnamsema vibaya tu
Aliinadi ilani ya HapaKaziTu sasa tunamshangaa kazi inafanyika kwake analialia😕kwani alijipangaje???
 
Nani kamuandikia hiyo massage huko face book ikiwa pressure yake ilikuwa juu?
Ameandikaje mwenyewe?
Kwa hiyo badala ya kuomba huduma ya kwanza aliagiza apigwe picha au alijipiga?
 
Last edited:
Shida sio kuwa CCM wala kuwa sijui chama gani. Hapa tunasimamia sheria tu.
Sasa ukitaka kujua sheria zipo kwa ajili ya watu masikini.Subiri kasiri ya Mchungaji Rwakatare ibomolewe.Utasubiri mpaka yesu arudi.Ila hii ya huyu bongo movie na makabwela wengine.Hata ije mahakama lazima zipigwe chini.Ccm ni ileile tu.Ya majizi na matajiri
 
Wenye wimbo tutaisoma namba ccm aniwekeeaudio yake hapa
 
Watu mna roho mbaya sana! Mnafurahia matatizo ya watu?!? Mungu awasamehe hamjui mlifanyalo!
Nyodo, Maringo, Dhihaka na Kejeli za kutosha alizokuwa akizifanya Mitandaoni na Majukwaani ili kuisifia CCM huku akiwabeza wanyonge wa UKAWA ambao walikuwa wakiitwa Malofa, Wajinga na Wapumbavu, ndio zimeleta yote haya.
 
Pole yake. ... Anasoma namba za Presha ndani ya dera la chama .. Dah... Hali ikiendelea hivi sijui watajiunga genge gani uchaguzi ujao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…