Wastara Juma aomba Watanzania tumuombee, Nyumba zake 2 zawekwa x

me watu wananishangaza kweli yan, kwa iyo ye nyumba yake kama imejengwa sehem isotakiwa ndo aachwe kisa alikata mauno kwa kampen haaa!
 
namshauri baada y kubomolewa nyumba kama atakosa sehemu ya kuishi, ccm wamuonee huruma wampe japo chumba kimoja(office) pale lumumba
 
Ndo kwanza mwaka wa kwanza bado minne mbele.

Ccm mbele kwa mbele
Chagua letu milele
 
Kuna ujumbe aliuandika Instagram kuelezea changamoto alizokutana nazo wakati anamuuguza marehemu mmewe da Inasikitisha Sana baada ya siku mbili tena akaandika nyumba zake mbili zimewekwa X ,Naogopa kusema chochote maana tutazidi kumuondolea furaha ambayo amesema amaikosa tangia 2011 mmewe alipoanza kuumwa,Nami nampa pole aende Lumumba watamsaidia.

Wamefiwa wangapi dunia hii? Afadhali hata yeye anazo nyumba mbili za kubomolewa! Wengine wamefiwa wamebaki wapangaji maisha yao yote!
 
Mbona sioni lowasa akibomolewa nyumba? Kwani waliekua wanasema ataisoma namba ni nani?
 
Hakuna mtu anayetetea watu waliojenga kwenye maeneo yasiyostahili. lakini hebu tujiulize, tangu nyumba ya kwanza inajengwa hadi zinafikia maelfu hiyo serikali ambayo leo inazungusha tingatinga na kutumia gharama kubwa kuzibomoa hizo nyumba ilikuwa wapi? Halafu humohumo wanamobomoa kuna vijiwe vya mashina ya CCM, wakati wanawatundikia Bendera zao zenye alama zinazoashiria shari, hawakujua kama haparuhusiwi kujengwa?
 
yaani inatia ugonjwa wa moyo pole sana...
 
Hahahaahahahahah nacheka utazani mazuri,ndoshida ya ushabiki maandazi hapa kazi Cc Mama ongea na mwanao
 
me watu wananishangaza kweli yan, kwa iyo ye nyumba yake kama imejengwa sehem isotakiwa ndo aachwe kisa alikata mauno kwa kampen haaa!
Shangaa na wewe mkuu, yaani ukawa wamekosa hoja sasa ni ushabiki tu, inamaana wao kumbe wangechukua nchi wasingesimamia sheria, hahaaa ukawa mtasubiri sana kuingia ikulu aiseee
 
Hakuna mtu anayetetea watu waliojenga kwenye maeneo yasiyostahili. lakini hebu tujiulize, tangu nyumba ya kwanza inajengwa hadi zinafikia maelfu hiyo serikali ambayo leo inazungusha tingatinga na kutumia gharama kubwa kuzibomoa hizo nyumba ilikuwa wapi? Halafu humohumo wanamobomoa kuna vijiwe vya mashina ya CCM, wakati wanawatundikia Bendera zao zenye alama zinazoashiria shari, hawakujua kama haparuhusiwi kujengwa?
Walikuwa ikulu wanapiga dili na mijizi ya kiarabu na kihindi.Leo nyota wanaoshea kwa mafukara Angrrrhh..Hii Ccm hii ni laana
 
Hakuna mtu anayetetea watu waliojenga kwenye maeneo yasiyostahili. lakini hebu tujiulize, tangu nyumba ya kwanza inajengwa hadi zinafikia maelfu hiyo serikali ambayo leo inazungusha tingatinga na kutumia gharama kubwa kuzibomoa hizo nyumba ilikuwa wapi? Halafu humohumo wanamobomoa kuna vijiwe vya mashina ya CCM, wakati wanawatundikia Bendera zao zenye alama zinazoashiria shari, hawakujua kama haparuhusiwi kujengwa?
So kama utawala uliopita haukutimiza majukumu yake na utawala huu pia uyaache tu?
 
Back
Top Bottom