MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
lkn angalia sana au ikibidi usicheze huu mziki maana yatakupata mabayaHivi huo wimbo haupo mtandaoni niu-download?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lkn angalia sana au ikibidi usicheze huu mziki maana yatakupata mabayaHivi huo wimbo haupo mtandaoni niu-download?
Hahahahaaaa jamani!lkn angalia sana au ikibidi usicheze huu mziki maana yatakupata mabaya
Akome kuishabikia ccm,ccm ina wenyewe karume,mwinyi,kikwete,nnauye,makamba,nyerere,awawa siyo nyie wapiga debeMsanii wa bongo movie ameomba watanzania tumuombee, kwani ameanza mwaka vibaya baada ya nyumba zake mbili kuwekwa x na kuwa hatarini kubomolewa.View attachment 315200View attachment 315201View attachment 315202
#Hapa kazi tu
#Hatunywi sumu wala hatunyongi
#Mtaisoma namba
#CCM mbele kwa mbele.
Hahahahaaaa"Yaani mpaka muda huu hizo Nyumba hazijabomolewa tuu?
Ficus, sidhani kama kuna anayependa mwenzake adhurike. Huyu dada na bongo mie wenzake wanatumika sana na chama tawala, then wanatupwa. Sisiemu wako wapi ili wanusuru nyumba zake zisibomolewe ?Watu mna roho mbaya sana! Mnafurahia matatizo ya watu?!? Mungu awasamehe hamjui mlifanyalo!
Bado sio sababu ya kufurahia matatizo ya mtu binafsi! Kile kilikuwa ni kipindi cha campaign na kila mtu ana haki ya kumshabikia/kumnadi mgombea anayeona anafaa!Nyodo, Maringo, Dhihaka na Kejeli za kutosha alizokuwa akizifanya Mitandaoni na Majukwaani ili kuisifia CCM huku akiwabeza wanyonge wa UKAWA ambao walikuwa wakiitwa Malofa, Wajinga na Wapumbavu, ndio zimeleta yote haya.
Kuna ujumbe aliuandika Instagram kuelezea changamoto alizokutana nazo wakati anamuuguza marehemu mmewe da Inasikitisha Sana baada ya siku mbili tena akaandika nyumba zake mbili zimewekwa X ,Naogopa kusema chochote maana tutazidi kumuondolea furaha ambayo amesema amaikosa tangia 2011 mmewe alipoanza kuumwa,Nami nampa pole aende Lumumba watamsaidia.