Wastara Juma aomba Watanzania tumuombee, Nyumba zake 2 zawekwa x

Hapo ndipo atakapojua siasa aiwezi kutenganisha uhalisia wa maisha yetu pole sana ccm ni ile ile watu walipotaka mabadiliko yeye akawakejeli na kutukana na kuamini ccm sasa asimame nayo kama awali ccm ni ile ile atetehe anachokiamini
 
Hahahahaaa CCM ni ileile ooh ni ileileeeeee.
Tumejipangaaa,mwaka huu wataisomaaa.
Nimekamiss sana haka kawimbo jamani!
Hizi ni sheria za nchi zimetungwa na bunge.

Hata ingeshinda chadema lazima wangebomolewa tu.


Nchi haiongozwi kwa jinsi unavyojisikia ,inaongozwa kwa sheria za nchi
 
Bado sio sababu ya kufurahia matatizo ya mtu binafsi! Kile kilikuwa ni kipindi cha campaign na kila mtu ana haki ya kumshabikia/kumnadi mgombea anayeona anafaa!
Mgombea huwa anafaa kwa SERA sasa inapotokea anatekeleza sera iweje unamuona hafai??
 
Vunja vunja imetua arumeru nyumba zaidi ya 3000 zitakubwa na bomoa bomoa
 
Hivi nyinyi chagadema kama mngeshinda uchaguzi ,mngeongoza kwa jinsi mnavyojisikia nyie na siyo kwa mjibu Wa sheria za nchi?!?!

Sheria zipo wazi zimetungwa na bunge .


Nyumbu watu Wa ajabu sana ,ndio mmefikia hatua ya kutetea wakwepa kodi
We Ngurue wa ccm usihare hovyo hapa,hiyo sheria ilikua wapi miaka yote mpaka wabomolewe leo?

Na hao wenye hati?na bado wanabomolewa,hizo hati walipewa na ma.ma ako?
 
Haya masuala ya kiutawala kwa kufuata sheria nimeyafurahia ila nawaonea huruma pia wahanga wote sio mmojammoja kwani wote ni watanzania.
Ila nampongeza magufuli Rais wetu kwa kuchukua maamuzi yenye tija
 
hakika wewe ndio ovyo. sasa hapo unatoa ujumbe gani? sheria ni msumeno inakata mbele na nyuma. magufuli anawakilisha na kusimamia hiyo dhana kwa vitendo ndio maana sote tunamshamgilia.
 
posho mlizopewa hadi vijana wetu wakakosa mikopo aliweka wapi. Ataisoma namba pressure ikishuka.
 
We Ngurue wa ccm usihare hovyo hapa,hiyo sheria ilikua wapi miaka yote mpaka wabomolewe leo?

Na hao wenye hati?na bado wanabomolewa,hizo hati walipewa na ma.ma ako?
Ignorance of the law is not defence.



Kwa hiyo waachwe hapo ili uendelee kufurahia wanaposombwa na Mafuriko siyo.
Magufuli alibomoa Nyumba kutoka ubungo kwenda kumara bila kulipa fidia na bado wamemchagua kwa kura nyingi.

Hii inaonyesha wananchi wanapenda kufuata sheria ila kuna wanafiki wachache wanajifanya wanatetea kumbe upumbavu mtupu.
Nyinyi chagadema watu Wa hovyo sana hamtakaa mchukue hii nchi.
 
Huu ni mfano mzuri kuwa zoezi la bomoa bomoa aliangalii itikadi ya mtu. Hapa ni haki tu. Sheria ni msumeno.
 
Hizi ni sheria za nchi zimetungwa na bunge.

Hata ingeshinda chadema lazima wangebomolewa tu.


Nchi haiongozwi kwa jinsi unavyojisikia ,inaongozwa kwa sheria za nchi
Hizi sheria za nchi zimetungwa na kuanza kutumika mwaka huu? Acha tuisome namba
 
!
!
Wazibomoe tu kwani hakuna namna nyingine. Wabomoe tu.
!
!
 
Wacha ku quote kauli zisizo na tija hapa,kikubwa tusikie hao waliohusika kutoa hati katika viwanja vya wazi na mabondeni nao wakichukuliwa hatua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…