Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ni sheria za nchi zimetungwa na bunge.Hahahahaaa CCM ni ileile ooh ni ileileeeeee.
Tumejipangaaa,mwaka huu wataisomaaa.
Nimekamiss sana haka kawimbo jamani!
Mgombea huwa anafaa kwa SERA sasa inapotokea anatekeleza sera iweje unamuona hafai??Bado sio sababu ya kufurahia matatizo ya mtu binafsi! Kile kilikuwa ni kipindi cha campaign na kila mtu ana haki ya kumshabikia/kumnadi mgombea anayeona anafaa!
We Ngurue wa ccm usihare hovyo hapa,hiyo sheria ilikua wapi miaka yote mpaka wabomolewe leo?Hivi nyinyi chagadema kama mngeshinda uchaguzi ,mngeongoza kwa jinsi mnavyojisikia nyie na siyo kwa mjibu Wa sheria za nchi?!?!
Sheria zipo wazi zimetungwa na bunge .
Nyumbu watu Wa ajabu sana ,ndio mmefikia hatua ya kutetea wakwepa kodi
hakika wewe ndio ovyo. sasa hapo unatoa ujumbe gani? sheria ni msumeno inakata mbele na nyuma. magufuli anawakilisha na kusimamia hiyo dhana kwa vitendo ndio maana sote tunamshamgilia.Kuna watu sometimes wanatia sana hasira.Mfano huyu msanii wa bongo movie ambaye alikuwa msatari wa mbele kwenye kampeni za CCM na alikuwa hodari wa kukata viuno ulipopigwa ule wimbo wa kuisoma #Namba.
Leo namba kaanza kuisoma yeye,Analalamika kwenye mitandao ya kijamii"Eti nyumba zake mbili zinavunjwa.Nani wa kumsaidia?
Si aende Lumumba kulalama?
Bulembo si yupo,akamweleze na si kuipigia jamii kelele.Wakati akikata mauno alidhani nini kitafuata?
Wanaomuonea huruma acha wamwonee tu.Ila mimi nasema acha aisome #Namba vizuri next time na wengine wawe na adabu.Hovyo kabisa"
Ignorance of the law is not defence.We Ngurue wa ccm usihare hovyo hapa,hiyo sheria ilikua wapi miaka yote mpaka wabomolewe leo?
Na hao wenye hati?na bado wanabomolewa,hizo hati walipewa na ma.ma ako?
Hizi sheria za nchi zimetungwa na kuanza kutumika mwaka huu? Acha tuisome nambaHizi ni sheria za nchi zimetungwa na bunge.
Hata ingeshinda chadema lazima wangebomolewa tu.
Nchi haiongozwi kwa jinsi unavyojisikia ,inaongozwa kwa sheria za nchi
Kuna watu sometimes wanatia sana hasira.Mfano huyu msanii wa bongo movie ambaye alikuwa msatari wa mbele kwenye kampeni za CCM na alikuwa hodari wa kukata viuno ulipopigwa ule wimbo wa kuisoma #Namba.
Leo namba kaanza kuisoma yeye,Analalamika kwenye mitandao ya kijamii"Eti nyumba zake mbili zinavunjwa.Nani wa kumsaidia?
Si aende Lumumba kulalama?
Bulembo si yupo,akamweleze na si kuipigia jamii kelele.Wakati akikata mauno alidhani nini kitafuata?
Wanaomuonea huruma acha wamwonee tu.Ila mimi nasema acha aisome #Namba vizuri next time na wengine wawe na adabu.Hovyo kabisa"
Wacha ku quote kauli zisizo na tija hapa,kikubwa tusikie hao waliohusika kutoa hati katika viwanja vya wazi na mabondeni nao wakichukuliwa hatua.Ignorance of the law is not defence.
Kwa hiyo waachwe hapo ili uendelee kufurahia wanaposombwa na Mafuriko siyo.
Magufuli alibomoa Nyumba kutoka ubungo kwenda kumara bila kulipa fidia na bado wamemchagua kwa kura nyingi.
Hii inaonyesha wananchi wanapenda kufuata sheria ila kuna wanafiki wachache wanajifanya wanatetea kumbe upumbavu mtupu.
Nyinyi chagadema watu Wa hovyo sana hamtakaa mchukue hii nchi.